Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Mambo yamebadilika jamani, siku hizi kuna hadi smartphone.. Enzi hizo kulikua na posta tu..

Yani ni evolution ya technology inaenda sambamba na social evolution of human society.

Mbeleni huko itafikia mahali ukimtaka mwanamke huongei nae, unamfuata unashika mkono mnaondoka.

Mhhhh. Wenzenu wazungu hawana aibu kwa kuwa toka Utoto kuona Nyeti za wazazi wao ni kawaida. Wanaoga wazi pamoja uchi nk. Yani ni hatari. Kumbe mwanamume akimtongoza atamwangalia live live. Sisi wadada Wa Leo Sex ni kitu cha kawaida. Unaweza fanya na yeyote mradi upate unachotaka. Kama Hela. Upendo. Hadhi. Kazi. Sex tu. Nk nk. Tena tunavua bila aibu. Lakini tupo pia bado tunaona aibu na Sio rahisi kutugegedaaaa.
 
Kuna demi nilimuita sehemu time ya lunch ili ni mpige sound tunajuana mda tu lakini alivyo kuja akaagiza msosi akapiga chap chap akaniambia kunasehemu nawahi ila nisha jua unacho taka nitafute wekend nitakupa we siwezi kuku nyima nyenge zote ziliisha na sikumtaka tena,yani hata sijaongea neno duh
 
Duuuh! Hilo gubegube mzee,ilitakiwa ulishika mkono tu na sio kuandaa vocal zako
 
Hata mimi nashangaa kweli kweli kuna rafiki angu wa kike yaani kila siku ananiomba dushe sijui ni kunizoea!!, nimemwambia sasa hivi nitaanza kutembea na fimbo kwa sababu sitaki maneno yake sasa hivi nitaanza kumchapa fimbo akianza tena maneno yake hayo!
huko kumchapa fimbo kumekaaje mkuu? Je ni kitanda kinahusishwa?
 
huko kumchapa fimbo kumekaaje mkuu? Je ni kitanda kinahusishwa?
Mimi ni binadamu,nina mama,dada,shangazi,mama mdogo,girlfriend na marafiki wa kike kama hao,je unamaanisha nitembee na watu wote hao???......je siyo ustaarabu mimi kustick na mtu mmoja tu(girlfriend)???......unamaanisha kila rafiki yangu wa kike nitembee nae???
 
Kwani siku izi kuna kutongozana tena? Mambo ni kwenye simu ukisha nipa namba kazi kwishaa
 
Back
Top Bottom