Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Mimi ni binadamu,nina mama,dada,shangazi,mama mdogo,girlfriend na marafiki wa kike kama hao,je unamaanisha nitembee na watu wote hao???......je siyo ustaarabu mimi kustick na mtu mmoja tu(girlfriend)???......unamaanisha kila rafiki yangu wa kike nitembee nae???
Mbona unafika mbali mkuu hata hujaambiwa uende? mimi nimeuliza kumchapa fimbo una mchapa chapa vipi au kuchapiwa ni siri ya ndani?
 
Zamani ukiwa una mtongoza demu ilikuwa ni vigumu sana kutokanana na aibu na uoga waliokuwa nao.

Ilikuwa shida sana kwa kidume kurusha mistari maana hata facial expresision ya demu ilikuwa ni kikwazo kikubwa sana,

Demu alikuwa hawezi kukuangalia usoni kwa aibu aliyonayo, huku akijitafuna vidole na kugubikwa na ukimya wa hali ya juu.

Wengine walikuwa ukiwapiga mistari anasema anaenda kukusema kwa mama yake maana unamlete upuuzi, wengine wanasema anaogopa hicho kitendo(kugegedwa)

Ndio maana zamani kuoa bikra ilikuwa jambo la kawaida

Lakini siku hizi mtu anakukodolea macho kama muhamiaji haramu anakaguliwa kitambulisho, hahahhahaaaaa

Aaaaaggghhhhrrrr, badilikeni bana waoaji tupate bikra sio kila kutwa kutafuna maganda tu.
Sasa huyu naye pozi gani hilo!
Haujakubaliwa unaanza kujishikashika.
 
Huyo ktk picha kafanana kweli kweli na lrene, sio yy kweli?
 
Kwakweli mademu wa zamani unaweza kumuingiza geto kwa mbinde mbaya na kumla ni lazima utumie nguvu ya ziada maana havui hata nguo moja, ukipambana sana lazima umkatie chupi ndio uone ndani, nguo nyingine havui na ukilazimisha avue zote utamkosa kwa valangati atakaloamsha.
Siku hizi ukichukua namba ya simu Leo kesho unaenda kumkunja. Mkifika guest sasa, hujamaliza kukagua mazingira ukigeuka tu keshavua nguo zote ziko sakafuni, mpaka apetaiti inapotea.
 
Skuhz unamtongoza demu et anakuambia" nahisi aibu kukujibu ana kwa ana" au "nikikubali haraka utaniona mi malaya" niwaulize wanaume wenzangu, hiv hapo kuna haja ya kutongoza tena?
 
ukipewa namba ya simu..tuu...
the next tafuta lodge iliyo pamoja na bar..
ila wanatusaidia sana sisi ambao ni madomo zege..
 
Back
Top Bottom