Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Mbali na udigital, lazima tukubali kuwa zama zimebadilika. Zamani wanawake wengi walikuwa hawapati nafasi ya kuendelea na shule hivyo walikuwa wakitongozwa wakingali wadogo miaka 14-22 hapo. Hivi leo hii mwanamke wa miaka 28+ ataonaje aibu atongozwapo?
Zama zimebadilika si kila ugonjwa ni malaria
 
Mi nawaza mtu aliyepata ujasiri kumtongoza bi Kiroboto,makinder
 
Back
Top Bottom