Endelea kuwa na Aibu hivyo hivyo....mpaka jamaa yangu akuonee aibuUnanisingizia jamani!!! Mie niko na aibu...
Asprin
Endelea kuwa na Aibu hivyo hivyo....mpaka jamaa yangu akuonee aibuUnanisingizia jamani!!! Mie niko na aibu...
ha ha haaaa,aiseeHalaf kweli, demu wa skuhz mtu ndo mnakutana kwa mara ya kwanza, unamtongoza kabla hata hajakujibu ashaloa.
ha ha haaaa,nimechekajee..duuDuuuu hatari sana. Au unatongoza huku unampapasa na kuweka ulimi sikioni nini? Maana sio kwa hali ya kawaida
ha ha haaaa,eti nitaanza kutembea na fimbo...daaMke wa mtu mambo?![]()
ha ha haaaa,umechoshwa yaan na kumtibuHata mimi nashangaa kweli kweli kuna rafiki angu wa kike yaani kila siku ananiomba dushe sijui ni kunizoea!!, nimemwambia sasa hivi nitaanza kutembea na fimbo kwa sababu sitaki maneno yake sasa hivi nitaanza kumchapa fimbo akianza tena maneno yake hayo!
Sababu mie nimesingiziwa sijui kwa wenzangu ka ni kweli!!! Ila kuna umri ambao nahisi aibu inapunguaEti hii mada ina uhalisia wowote japo wewe umesingiziwa
Naogopaaa mie kukuaangalia..Niangalie machoni nione kama kweli una aibu.
Hahaa.. Machafuko mtataZama zmebadlika cyo kila homa ni maralia
Ni kweli kuna umri ukifika aibu inatowekaSababu mie nimesingiziwa sijui kwa wenzangu ka ni kweli!!! Ila kuna umri ambao nahisi aibu inapungua
mtu anakula za uso kavukavu macho makavuHapanaUnaogopa nini Sakayo? LOL!
Lakinii haiondoki yote bhana!!!Ni kweli kuna umri ukifika aibu inatoweka![]()
![]()
mtu anakula za uso kavukavu macho makavu
haaa haaaa duu hii kaliZama zimebadilika wanasema wenyewe
Ukiwauliza KE ndio wanavyosemahaaa haaaa duu hii kali