Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Hata mimi nashangaa kweli kweli kuna rafiki angu wa kike yaani kila siku ananiomba dushe sijui ni kunizoea!!, nimemwambia sasa hivi nitaanza kutembea na fimbo kwa sababu sitaki maneno yake sasa hivi nitaanza kumchapa fimbo akianza tena maneno yake hayo!

Angalia usiue
 
Zamani ukiwa una mtongoza demu ilikuwa ni vigumu sana kutokanana na aibu na uoga waliokuwa nao.

Ilikuwa shida sana kwa kidume kurusha mistari maana hata facial expresision ya demu ilikuwa ni kikwazo kikubwa sana,

Demu alikuwa hawezi kukuangalia usoni kwa aibu aliyonayo, huku akijitafuna vidole na kugubikwa na ukimya wa hali ya juu.

Wengine walikuwa ukiwapiga mistari anasema anaenda kukusema kwa mama yake maana unamlete upuuzi, wengine wanasema anaogopa hicho kitendo(kugegedwa)

Ndio maana zamani kuoa bikra ilikuwa jambo la kawaida

Lakini siku hizi mtu anakukodolea macho kama muhamiaji haramu anakaguliwa kitambulisho, hahahhahaaaaa

Aaaaaggghhhhrrrr, badilikeni bana waoaji tupate bikra sio kila kutwa kutafuna maganda tu.
Mkuu mkuu umesha sema zamani bhana
 
Sugu aliimba "hapo zamani mambo mengi yalikuwa shwari. Kuliko na sasa mambo mengo yamebadilika. Siku hizi ukianza kutongoza saa mbili kasorobo, saa mbili kamili mpo nyumba ya kulala wageni".
 
Back
Top Bottom