Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Kwanini siku hizi wadada hamna aibu?

Mtoa mada unaishi wapi?? Huku kwetu 'darisalama' ukiwa na 'hela' unatongozwa na mwanamke ni nadra sana kumkuta mtu alietuna upande mmoja wa kalio kwa wallet ilioshiba fwedha umkute anatongoza mara nyingi huwa anatongozwa

Unayoyasema ni ukweli kuhusu wanaume wa Dar.....wale jamaa kwa kweli hawafai kuitwa hata wanaume kwani wanahaibisha hiyo jinsia kwa sababu wengi wao (98%) hawajitambui. Na wanatongozwa na wanawake kwani wenyewe (wanaume wa Dar) hawajuwi kutongoza, kwa kweli wana shida sana.
 
Hahaha tatzo ni hela mkuu dar wanaume wengi ni watafutaji
 
Kwenye hio pic jamaa anatongoza chini ya mti, wakati sasa unatongoza Facebook, Instagram au kwenye simu. Hio aibu ataipata wapi? na anaandika tu ujumbe babe nimekukubali lakini nitumie laki

Ndukiiiii
Hahahahahaaaaa

Kwenye hela hawajambo
 
😀😀😀😀 hapana mkuu ndo mtizamo wa wanaume wa dar

Wanatisha....kwa mtizamo huu kwa kweli wanawake wao wataendelea kuwadharau kila kukicha na wasipo angalia watakuja kutongozwa kuliwa tigo maana nasikia kuna baadhi ya wanawake wa Dar wanashikisha ukuta wenzao siku hizi.
 
Inawezekana si umeona kuna uzi upo humu mwanamke anaomba msaada mwanamke mwenzie anamtaka,mjini kuna mengi huku mkuu karibu sana
 
Wanasema wanawake wa kidigital
Mbali na udigital, lazima tukubali kuwa zama zimebadilika. Zamani wanawake wengi walikuwa hawapati nafasi ya kuendelea na shule hivyo walikuwa wakitongozwa wakingali wadogo miaka 14-22 hapo. Hivi leo hii mwanamke wa miaka 28+ ataonaje aibu atongozwapo?
 
Nyie wahenga mnaonekana mlikuwa vizuri sana. Mimi kila siku naona thread mtu analalamiaka anakataliwa, mara mimi domo zege, mara madem hawatongozeki. Inaonekana na sisi men tumelose ability ya kutongoza.

Thread yako naishangaa sana, unataka wadada waanze kuwa na aibu? Kwanini? Reason yako aiendani kabisa. Kama ni virginity, hata hao wenye aibu zinatoka kilaini tu, reason why bikra zilikuwa nyingi enzi hizo; jamii ingekuona malaya, kulikuwa hamna kinga so STDs na pregnancy is a guarantee.

Binafsi nikiona mdada ana aibu napress next hii dunia ya sasa sio ya kuwa na mtu mwenye aibu. Kumbuka its 50/50, enzi hizo walikuwa na aibu since men walikuwa na more power in society. Siku hizi nitakushangaa sana kama utakuwa na aibu.

Aibu=not confident... Totally a turn off. Wanawake msiwe na aibu bhana, nitashindwa kukuachia kampuni uiongoze.

Mtazamo wangu tu.

-callmeGhost
Umenena vyema
 
Back
Top Bottom