lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.
Anzia bar kubwa kama Rozlsi Garden,Corner bar, Break point, Igo bar watu , Uhuru Peak bar,Masai club, Jakalanda pub,.MK bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi Dar.
Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?
Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia Mungu?
Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.