haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 837
- 1,550
O level haikua hivi, Maisha tulioish O-Level na rafiki yangu yalibadilika kabisa advance , kila mtu alijifanya mchungaji, sheikh, muumin wa kweli.
Nilidhani ni shule yangu tu ila nikajaona maeneo mengi. Sijui ni vile vipindi vya dini vya lazima au nini.
Cha ajabu zaidi kufika chuo sikuwaona tena wale waumini na viongozi wa dini kindaki ndaki, kwanini