eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Tatizo ni ninyi wananchi mnakubali kila kituHapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?
Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania
Nilikuwa wapi mkuu kivipiKwani ulikuwa wapi.kumbuka biashara nyingi zomefungwa na jana wafanya biashara walikuwa wanamsanifu tu ukweli wanaujua
Swissme
Kivipi wakati tunaambiwa yeye ndio hutoa amri kuhusu kila kinachofanywa na manispaa zetuTatizo ni ninyi wananchi mnakubali kila kitu
Ndio iwe kila mwaka mkuu huku si kurudishana nyumaKuna mtu ana leseni ya mwaka 1998 hajawahi renew hadi leo. Nadhani utaratibu ulibadilishwa kuanzia 2000's ndio watu wakaanza kurenew na pia kuweka penalties kwa wale wanaochelewa kurenew. Ofcourse mwaka huu viwango vimekua juu sana
Kwa kweli wanaturudisha nyuma sisi wafanya biasharaUko sahihi kabisa,mimi niliwashauri waondoe leseni za mwaka kwa mwaka na badala yake watoze zile service levy ambayo inaweza kuwa 1%ya kodi unayolipa TRA au hata chini ya hapo ili watu waweze kulipa kwa uhuru na kwa hiyari,Tatizo serikali hii haishauriki mpaka watukwane ndio wanaanza kuelewa
Mkuu inauma sana unachokiongea kinawakuta wengi mno hivi sasaHili swala la leseni lilshawashi kunikuta kipindi fulani..
Katika harakati za kutaka kurasimisha biashara yangu fulani hivi, nilianzia halmashauri wakanipa fomu nikajaza kisha nikaenda TRA nikapata TIN bila usumbufu wowote nikapewa na clearance.
Nikarudi halmashaur wakanifanyia makadirio ya kama 120k nikalipa kisha wakanipa tarehe ya kuchukua leseni.
Siku niliyofuata leseni yangu sikuamini kilichotokea, nilipofika nikakabidhiwa faili langu akapewa afisa biashara mmoja mwenye roho mbaya sana akaangalia kisha akaniambia hela niliyolipa ni ndogo sana inatakiwa nilipe 300k mpaka wenzake wakaanza kumshangaa kwa kuwa ndiye mkuu wa kitengo wakanyamaza, kisha wakanitolea invoice nyingine ya 180 nikalipe ukiangalia biashara yenyewe hainden kabisa na lesen ya 300k
Nilichofanya sikurud tena ofisin kwao, sitokata tena leseni na sitolipa tena kodi TRA. Nalipia tu vibali basi isitoshe ukaguzi wenyewe mara moja kwa mwaka.
Serikali isipowaangalia watumishi wa TRA pamoja na maafisa biashara watakosa mapato mengi sana na kuongeza chuki baina ya wafanyabiashara na serikali.
Kibaya zaidi ukilalamika unaambiwa "HAPA KAZI TU"
Kazi zenyewe ndo hizo za bomoa na kuvuruga kila kona hadi watu waishi kama mashetani.Hili swala la leseni lilshawashi kunikuta kipindi fulani..
Katika harakati za kutaka kurasimisha biashara yangu fulani hivi, nilianzia halmashauri wakanipa fomu nikajaza kisha nikaenda TRA nikapata TIN bila usumbufu wowote nikapewa na clearance.
Nikarudi halmashaur wakanifanyia makadirio ya kama 120k nikalipa kisha wakanipa tarehe ya kuchukua leseni.
Siku niliyofuata leseni yangu sikuamini kilichotokea, nilipofika nikakabidhiwa faili langu akapewa afisa biashara mmoja mwenye roho mbaya sana akaangalia kisha akaniambia hela niliyolipa ni ndogo sana inatakiwa nilipe 300k mpaka wenzake wakaanza kumshangaa kwa kuwa ndiye mkuu wa kitengo wakanyamaza, kisha wakanitolea invoice nyingine ya 180 nikalipe ukiangalia biashara yenyewe hainden kabisa na lesen ya 300k
Nilichofanya sikurud tena ofisin kwao, sitokata tena leseni na sitolipa tena kodi TRA. Nalipia tu vibali basi isitoshe ukaguzi wenyewe mara moja kwa mwaka.
Serikali isipowaangalia watumishi wa TRA pamoja na maafisa biashara watakosa mapato mengi sana na kuongeza chuki baina ya wafanyabiashara na serikali.
Kibaya zaidi ukilalamika unaambiwa "HAPA KAZI TU"
Mkutano wa Jana ikulu, wafanyabiashara walienda tu kutalii na kutapa lunch kwa kodi zao, hawakuwa na lamaana la kuzungumza zaidi ya kumwagia sifa.Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?
Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania
Ashaajiita ye ni jiwe sasa unategemea ashauriwe naniMkutano wa Jana ikulu, wafanyabiashara walienda tu kutalii na kutapa lunch kwa kodi zao, hawakuwa na lamaana la kuzungumza zaidi ya kumwagia sifa.
Wangelikuwa huru hakuna kitekana wala visasi Jiwe akisikia/wangemshauri mengi na mazuri sana ya kuisadia Tz kufikia uchumi wa kati.
Lakini kwa sababu kuikosoa serikali na Sera zake ni kosa la jinai na kukosa uzalendo. Waliamua kufunika kombe mwanaharamu apite then business as usual.
manispaa hizihizi zimeweka na kodi nyingine inaitw service levy huu ni unyang'anyi wa machomacho kabisa lakini kwa sababu hatuna kwa kukimbilia basi tunajikongoja mpakaHapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita