eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?
Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania