Kwanini Serikali isikanushe Rais wetu kutuhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda?

Hakuna kitu kama hicho hio Security Detail ya mkuu yote ni Raia Wa Tanzania tena wazawa halisi wa Hapa na Background zao wanazo hao wanao wa assign Contract hakuna Mtu anaweza Penya na kushika mtutu mbele ya Raisi bila kuwa mzawaliwa wa hapa,ndani ya Detail Hao Counter assault Team (CAT) mnaowaona na Heavy weapon Nearby mkuu ni wabongo halisi, Hata wale Wa pale ikulu Uniformed ni Raia wa kuzaliwa hapa
Hio inshu ya Wanyarwanda kupenya kwenye majeshi yetu ipo ila kwa kiwango kidogo na inadhibitiwa na wenye dhamana, Lakini kusema wafikie detail protection ya mkuu Hio haiwezekani hata kidogo
 
Uhuru wa kuongea ukizidi unakuwa uhuru wa kuvunja sheria, katika hali ya kawaida na yenye kueleweka, haiwezekani amirijeshi mkuu wa nchi akadharau vyombo vyake vya ulinzi na usalama na kuomba askari toka nchi nyingine kuja kumlinda, huu ni uzushi wa kijinga sana.
Tanzania ina kila aina ya askari wa ulinzi na wanausalama hata makachero wenye mafunzo imara katika medani zao,

Jamiiforums lazima muangalie habari za kujadiliwa humu na mjaribu kujiepusha kujadili masuala ya kiusalama kujadiliwa na watu wasioyajua kwa undani na kujikuta wanapotosha.
 
Ni kweli Boss tena mkuu yuko sensitive sana na Military issue, Hawezi kuruhusu Wanyarwanda kuja kumguard hapa ile hali most of them tuna wa train wenyewe apa nchini, Raisi ana imani kubwa sana na vyombo vya Usalama
 
Sio kila uzushi unajibiwa
 
Ww unayesema umelithibitisha hilo au umetega ili usikie serikali itasema nn. Kama ulitumwa kuandika thread ya namna hiyo ushafeli kajipange upya au urudi kinyumenyume upo.
 
Ila ulinzi wa mwendazake ulikuwa ni shida. Kuna wanyarwanda waliojipenyeza jeshini?
 
Kwani kwa mama yenu hao usalama vip protection personnels hawapo?

Mnadanganywa eti ni wanyarwanda
Binafsi sikudhani wala sidhani kama ni wanyarwanda. Ila ulinzi wa huyu mama nao ni shida tupu. Unakaribiana ama labda unaweza kuuzidi ule wa jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…