Kwanini Serikali isikanushe Rais wetu kutuhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda?

Alindwe n.a. wanyarwanda ama warundi au paka shauri yake.Tunataka amani,upendo,maendeleo n.a. kuheshimu Katiba/Sheria. Mambo ya "kuto-survive apelekee waliomfundisha akawaambie "this project is impracticable!
 
Eti rais kipenzi cha watu! ndio inakuwaga hivi?

Kipenzi cha watu halindwi hata na mgambo.

Analindwa na Mungu aliye hai.

Hata uje na full loaded AK-47 zitawapigia watu makelele tu.
 
Sio kweli wale majamaa ni wa tz ila walikaa Rwanda mda mrefu sana na hawako huko tu wapo karibia kila nchi ni mambo ya kiusalama zaidi kama una ona wandani wana weza rubunika una wachukua kwa kua hawajulikani inakua ngumu MTU kumuingilia
Mmmmh
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?
Rais wa Kongo analinda na Komando from Tz...
 
Kwanini Waliokuambia usiwaambie WATHIBITISHE unataka serkali iseme nini ilikuambia?
 
Ni muhimu kukanusha rasmi ili wananchi wajue, ubaya upo huwezi kualika walinzi wa ikulu kutoka nchi nyingine, mnaweza kuruhusu kuvuja kwa taarifa nyeti bila kujua
Hivi nayetakiwa KuTHIBITISHA ni nani AkiyeSEMA au serKALI ambayo haijasema hayo. Ukishindwa kutumia Ubongo wa Mbele tumia hata Medula obulangata itatoa majibu sahihi
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?
WEWE SIO MZALENDO KUMBE
 
Saa nyingine jiwe likikukung'uta huko gizani ulikojificha bora ukae kimya kuliko kupiga Yowe ukipiga yowe mrusha jiwe atajua ulipojificha atarusha jiwe tena palepale yowe lilipotoka.Utasema mrusha jiwe mchawi anaona gizani kumbe wewe ndio umejiletea dhahama
 
Back
Top Bottom