Kwanini Serikali isikanushe Rais wetu kutuhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda?

swissme Wash your mouth,can't be serious. Kwanza nina allergy na huyo anayejiita msomi kichwa bovu JM.I due respect you
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi Habari hizi?
Sio kila habar ni ya kukanushwa na ikulu,we kwa ufahamu wako japo kidogo tu unaona hicho kitu kinawezekana!!!!?
 
Tanzania Makomandoo wamekwisha? Au maonyesho siku kuu ya uhuru 9/12 ya vikosi vya makomandoo wa jeshi si vya nchi hii..!!?
 
Makubwa haya technically! Hii ishu IPO mtaani inazagaa ovyo ovyo sana! Ni bora wakaikanusha mapema, maana sumu inaenea vibaya
Wewe lazima ni mjita ndiyo mnapenda kusutana hata wanamme.

Hivi kwa ujinga kama huo kuna sababu ya msingi serikali kuuzunguzia? Rwanda mafunzo ya kijeshi asilimia kubwa wanafunzwa Tanzania harafu tutoe makomandoo Rwanda kuja kumlinda Rais!!!
 
Hata nami nimesikia kwamba wako wanyarwanda wako wengi sana hapa. Wengine ndo wale wanaitwaga "watu wasiojulikana"
 
Mipuuzi tyu hio kijana jenga nchi siyo wakati wa taarabu

Hata wew hapo ulipo unaweza ukakanusha
 
With this trend of umbeyas watakanusha mangapi?na ikiwa hivyo kuna shida gani?tuanzie hapo mkuu.
Ni muhimu kukanusha rasmi ili wananchi wajue, ubaya upo huwezi kualika walinzi wa ikulu kutoka nchi nyingine, mnaweza kuruhusu kuvuja kwa taarifa nyeti bila kujua
 
Sio kweli wale majamaa ni wa tz ila walikaa Rwanda mda mrefu sana na hawako huko tu wapo karibia kila nchi ni mambo ya kiusalama zaidi kama una ona wandani wana weza rubunika una wachukua kwa kua hawajulikani inakua ngumu MTU kumuingilia
Like, seriously? Yaani Marekani wachukue KGB na kuwaweka kwenye kikosi cha ulinzi cha Rais Trump kwa kuwa security detail wa Marekani hawaaminiki!!

Sasa hao hawajulikani wakati watu wanasema wanatoka Rwanda?!
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi Habari hizi?
Wewe mwenyewe kutumia neno “isikanushe” ni kwamba umeashiria hiyo ni uongo.
Serikali haiwezi kupoteza muda kwenye mambo kama hayo!!
 
Sio kweli wale majamaa ni wa tz ila walikaa Rwanda mda mrefu sana na hawako huko tu wapo karibia kila nchi ni mambo ya kiusalama zaidi kama una ona wandani wana weza rubunika una wachukua kwa kua hawajulikani inakua ngumu MTU kumuingilia
Hi to Bashiteee
 
Back
Top Bottom