Kwanini Serikali isikanushe Rais wetu kutuhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda?

Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?
Unataka serikali ianzishe kitengo maalum cha kukanusha uzushi wa "dada" Mange?
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?

Mwenye kesi ndio anatakiwa kutoa vielelezo. Sasa toa vielelezo vya hao Makomando wa Rwanda.
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?

Mmaa!!!!!!!Mbona hatuwaoni wako wapi fyatua kapicha kidogo tuone
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?
mambo mengine ya kipumbavu unakaa kimya sio kila kitu unajibu
 
Ebwanaeeee uzushi mwingine noma ila huwa unachona inapobainika ni kweli na si uzushi tena
 
Like, seriously? Yaani Marekani wachukue KGB na kuwaweka kwenye kikosi cha ulinzi cha Rais Trump kwa kuwa security detail wa Marekani hawaaminiki!!

Sasa hao hawajulikani wakati watu wanasema wanatoka Rwanda?!
Haya majitu makuda sana yanaongea kwa kujamba. Haya ni yale yaliyojongo JKT nadhani ni yale ya kipindi ambacho JKT ilifutwa. Hizi statements zao wakisoma wapiganaji waliotoka Operation JPM watwashangaa ni watoto wadogo lakini wanayazidi haya madubwasha yanayodhalilisha vyombo vya usalama wa nchi.
 
Mbona watu wakisema lije shirika la kigeni kuchunguza shambulizi la Lissu mnakataa?
Sioni relationship,ingawa kama ni maamuzi yangu basi hao wageni waanzie mbali kabisa kuna mengi tungependa kujua mf kifo cha Sokoine,Wangwe,Mtikila,Kolimba,Karume,nk...siyo tu Lisu hata wakina 8 o'clock tujue walipo.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?
Hao makomando ni wepi jamani, these are vague statements wala hata sio allegations, coz ingekuwa allegations wangekuja na ushahidi wa hao makomando wakiwa wanamlinda Rais wetu, na ushahidi wa hao hao makomando wakifanya shughuli zao za kikomandoo huko Rwanda, tofauti na hapo. Nisingependa kuamini na ninfeshauri wadau wenzangu hilo jambo ni LA kupuuzia. Tofauti na huo ushaidi kuletwa hizo ni rumours na umbea, na sidhani kama idara ya mawasiliano IKULU watapoteza resources zetu kujibu hilo.
 
Back
Top Bottom