Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
Heee! Kwani Kantalamba (siyo Kantalampa) kuna shida gani mkuu? Mbona shule ipo mjini (Sumbawanga) kabisa. Kama unaongelea shule zilizo katika mazingira magumu, wala hiyo usiitaje maana uta-dilute magnitude ya hizo shida kwa sababu shule ile haina tofauti kimazingira na shule nyingine unazozifahamu zenye mazingira nafuu sana.Shida kuna watu toka wazaliwe hawajui shida humu. Nafikiri mtoa mada hajui vizuri mazingira halisi ya mwalimu. Toka azaliwe "baba mkurugenzi wa madini kanda ya .., mama barozi wa tanzania . "Mtu kama huyu hawezi jua shida inayompata mwalimu wa kitanzania anayefundisha Kantalampa, namanyele, Tanganyika masgati, kibungo juu, na lindi vijijini.
Unapokosa la kuongea jf tulia comment za wenzako f.ala we.