Sijaipata mantiki ya hoja yako!..Kwani hizo ni nyumba za walimu au ni za serikali kwa ajili ya walimu?
Mantiki ya hoja yangu ni kwamba ni kwa nini serikali inapoteza fedha kufanya jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani? Yaani kumjengea kila Mwalimu nyumba ya kuishi hizi ni ndoto na Serikali haina huo uwezo hivyo ni kwanini kwa kuwa Mwalimu analipwa mshahara kama mwajiriwa mwingine yoyote yule wa Serikali asijitegmee kwenye makazi?
Yaani Mwalimu ataishi wapi isiwe tatizo la Serikali bali liwe tatizo binafsi la Mwalimu mwenyewe kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine kama manesi, na wengineo ambao wanalipwa mishahara na kupanga chumba!
Kwani shule zote ziko mijini ambako kuna nyumba za kupanga? shule iliyoko kijijini kwenu ambako mnakunya porini kama wanyama wasipelekwe walimu? au unataka walimu wakaishi kwenye tembe la babu yako alilolijaza mahirizi na ngozi za alubino?Mantiki ya hoja yangu ni kwamba ni kwa nini serikali inapoteza fedha kufanya jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani? Yaani kumjengea kila Mwalimu nyumba ya kuishi hizi ni ndoto na Serikali haina huo uwezo hivyo ni kwanini kwa kuwa Mwalimu analipwa mshahara kama mwajiriwa mwingine yoyote yule wa Serikali asijitegmee kwenye makazi?
Yaani Mwalimu ataishi wapi isiwe tatizo la Serikali bali liwe tatizo binafsi la Mwalimu mwenyewe kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine kama manesi, na wengineo ambao wanalipwa mishahara na kupanga chumba!
Mantiki ya hoja yangu ni kwamba ni kwa nini serikali inapoteza fedha kufanya jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani? Yaani kumjengea kila Mwalimu nyumba ya kuishi hizi ni ndoto na Serikali haina huo uwezo hivyo ni kwanini kwa kuwa Mwalimu analipwa mshahara kama mwajiriwa mwingine yoyote yule wa Serikali asijitegmee kwenye makazi?
Yaani Mwalimu ataishi wapi isiwe tatizo la Serikali bali liwe tatizo binafsi la Mwalimu mwenyewe kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine kama manesi, na wengineo ambao wanalipwa mishahara na kupanga chumba!
We Unakichaa, Umejiuliza Kwanini Waalimu Hawalipwi POSHO WALA NIGHT NA WAFANYAKAZI WENGINE WANALIPWA WAKATI KAZI WANAZOZIFANYA HADI KULIPWA POSHO WANALIPWA MSHAHARA? Kwanini Hizo Posho Zisiende Kwenye Ujenzi Wa Barabara Vijijini? Umewahi Kujiuliza Mwalimu Wa Digrii Anapoanza Kazi Analipwa Laki Sita Na Daktari Anaeanza Kazi Mwenye Digrii Hy Hy Analipwa Milioni Moja Na Laki Tano? Kwanini Na Wao Walipwe Pesa Zote Hz?Kwanini Wasilipwe Viwango Sawa Na Waalimu? FICHA UJINGA WAKO.
jamani kazi ya walimu ni ngumu sana achilia mbali kufundisha ,kuna kupitia madaftali ya wanafuzi wote
assume mwalimu ana wanafunzi 45ktk darasa moja
ana madarasa matatu anayofundisha 3*45=
ana vpindi labda vitatu kila darasa kwa wiki 3*3*45-=
kila siku anahitaji posho au overtime
jibu nimeshakupa mbona hujajibu? Nimekuuliza kwanini wafanyakazi wengne wanalipwa posho na waalimu hawalipwi posho? Kwanini wafanyakazi wengine wanalipwa mishahara mizito inayowawezesha kujenga nyumba bora kwa kipindi kifupi wakati mwalimu analipwa mshahara mdogo? Mbona hujibu?
How you present your strong opinion.. destroys maana nzima iliyobeba ujumbe wako...Kwani shule zote ziko mijini ambako kuna nyumba za kupanga? shule iliyoko kijijini kwenu ambako mnakunya porini kama wanyama wasipelekwe walimu? au unataka walimu wakaishi kwenye tembe la babu yako alilolijaza mahirizi na ngozi za alubino?
Kwa sababu mishahara yao ni midogo na ujenzi wa nyumba unaondoa gharama za kila mwaka kwa serikali kulipa mishahara mikubwa kwenye bajeti yake. Chukulia hili kwa nini balozi wetu wananunua nyumba nchi za nje wakati wangeweza kupanga!Mantiki ya hoja yangu ni kwamba ni kwa nini serikali inapoteza fedha kufanya jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani? Yaani kumjengea kila Mwalimu nyumba ya kuishi hizi ni ndoto na Serikali haina huo uwezo hivyo ni kwanini kwa kuwa Mwalimu analipwa mshahara kama mwajiriwa mwingine yoyote yule wa Serikali asijitegmee kwenye makazi?
Yaani Mwalimu ataishi wapi isiwe tatizo la Serikali bali liwe tatizo binafsi la Mwalimu mwenyewe kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine kama manesi, na wengineo ambao wanalipwa mishahara na kupanga chumba!
Kwa sababu mishahara yao ni midogo na ujenzi wa nyumba unaondoa gharama za kila mwaka kwa serikali kulipa mishahara mikubwa kwenye bajeti yake. Chukulia hili kwa nini balozi wetu wananunua nyumba nchi za nje wakati wangeweza kupanga!
Hivyo badala ya kumlipa mwalimu tuseme milioni 3 kila mwezi ili kumwezesha kupanga nyumba ya Milioni 1.5, serikali itatumia milioni 1.5 kumlipa mwalimu kila mwezi kwa miaka yote wakati bado ikihodhi nyumba hiyo. Ni mpango mzuri sana kwa kuzingatia mpango wa muda mrefu ila kiukweli mishahara wanayopewa walimu na Madaktari bado haitazami market value ya pango ili kukidhi matumizi ya kawaida. Walimu na Madaktari bado wanapewa mshahara mdogo sana pamoja na kwamba hukaa nyumba za serikali wakati wabunge mawaziri na watumishi wengine wa umma wanapokea mishahara inayopitiza hata gharama za nyumba na usafiri ukijumlisha.