onechromosome
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 1,243
- 780
Umeme ni tatizo sugu sana huku buza na lumo kote tanesco huku wanadharau sana
Mimi nikisikia BUZA sijui nawaza nini tu.!
cc: Baharia wa Buza
Hahahaha kuna maeneo hata kufikiria sijawahiHivi Buza ipo Dar es salaam au Temeke? Serikali inawanynyapaa kwa sababu watu mnaokaa Buza ni matopolo ya kutupwa.
Mbona mabomba yameshaweka ila bado kuunganisha kwa wananchi tu.Hili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali.
Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko.
Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia Buza.
Umeme unakatika mara kwa mara na kuwa kero. Maji mtandao wa dawasa haujafika.
Mradi wa maji jetbuza ni kitendawili. Na Kitila Mkumbo alisema wameshalipa bil 100+ kwa miradi ya maji ikiwemo w Buza.
Mbunge wa Temeke anakaa Buza lakini hajawahi kufanya hata mkutano na wananchi.
Hivi ndio kusema Dar es Salam ni Kinondoni tu? Japokuwa hata kinondoni kuna maeneo sio mazuri kama Buza mfano Tandale.
Basi kamilisheni mradi wa Jet Buza wa maji ili na sisi tusifikiri mnatudharau. Mbunge wa Temeke upo hata hii ishu huulizii au umehamia masaki?
Sio KWARULENGE ni Kwa LulengeMkuu wazungumzia BUZA sehemu gani KWARULENGE ama KWAMPALANGE [emoji4]
NakaziaNadhani kwa mpalange iko wilaya ya Ilala. Mwanagati, kwa mfipa, magole, kitunda, kivule, njoo mpaka Banana -ukonga. yote ILALA hiyo.
Kuna maboresho ya nguzo za umeme yanafanyikaUmeme ni tatizo sugu sana huku buza na lumo kote tanesco huku wanadharau sana
Wazee wa nyuma ya airport [emoji23][emoji23][emoji23]Hili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali.
Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko.
Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia Buza.
Umeme unakatika mara kwa mara na kuwa kero. Maji mtandao wa dawasa haujafika.
Mradi wa maji jetbuza ni kitendawili. Na Kitila Mkumbo alisema wameshalipa bil 100+ kwa miradi ya maji ikiwemo w Buza.
Mbunge wa Temeke anakaa Buza lakini hajawahi kufanya hata mkutano na wananchi.
Hivi ndio kusema Dar es Salam ni Kinondoni tu? Japokuwa hata kinondoni kuna maeneo sio mazuri kama Buza mfano Tandale.
Basi kamilisheni mradi wa Jet Buza wa maji ili na sisi tusifikiri mnatudharau. Mbunge wa Temeke upo hata hii ishu huulizii au umehamia masaki?
Acha uchocheziWazee wa nyuma ya airport [emoji23][emoji23][emoji23]
Kule mahali uswahili mwingi sana
Kwa bahati mbaya hapatakua sababu huwezi kuweka maghorofa sababu ni near airport
Luckman1
Ipo Jimbo la ukongaHivi Buza ipo Dar es salaam au Temeke? Serikali inawanynyapaa kwa sababu watu mnaokaa Buza ni matopolo ya kutupwa.
Huko hukona miss buza je?!
kinondoni kwa mbali. .!you can't be SeriousTemeke si ndo kuna uswazi nyingi kuliko wilaya zote? Sababu Mbagala,Tandika,Buza na makolokolo mengine ni huko....Dar es salaam ni Ilala na Kinondoni kwa mbali
Mwanamke aliyeongelewa humo sifa zake ni kama Asha ngedere au Mwajuma ndalandefu inaonekana watu wa huko ni wa ajabu sana!Mimi najua wimbo tu kutoka pande hizo unaitwa Miss Buza baas
Ni wakati wa kuipumzisha sasaHili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali.
Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko.
Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia Buza.
Umeme unakatika mara kwa mara na kuwa kero. Maji mtandao wa dawasa haujafika.
Mradi wa maji jetbuza ni kitendawili. Na Kitila Mkumbo alisema wameshalipa bil 100+ kwa miradi ya maji ikiwemo w Buza.
Mbunge wa Temeke anakaa Buza lakini hajawahi kufanya hata mkutano na wananchi.
Hivi ndio kusema Dar es Salam ni Kinondoni tu? Japokuwa hata kinondoni kuna maeneo sio mazuri kama Buza mfano Tandale.
Basi kamilisheni mradi wa Jet Buza wa maji ili na sisi tusifikiri mnatudharau. Mbunge wa Temeke upo hata hii ishu huulizii au umehamia masaki?
Yaa wa ajabu ajabu kweli....Mwanamke aliyeongelewa humo sifa zake ni kama Asha ngedere au Mwajuma ndalandefu inaonekana watu wa huko ni wa ajabu sana!
Wa nchi kavu auNa mabaharia wengi wanatoka Buza