nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,033
- 2,949
Bila kusahau Kinondoni Moscow
Bila kusahau Kinondoni Mosque
Bila kusahau Kinondoni Mosque
Miss Buza? Acha kuchekesha watu. Mtakua mlimpata kwenye mnanda au mchiriku?na miss buza je?!
Shika adabu yako. Hapa panaitwa Kinondoni MoscowBila kusahau Kinondoni Mosque
Muongo huyo
Acha uzushi yaani kitunda iwe ya ovyoSiku ukitembelea matembele ya 1, kitunda, kibeberu, mwanagati, matembele ya 2, sirali, kivule, fremu kumi, msongola, mbondole, njia nne utagundua kuwa buza ni kama TORONTO!!
Wewe ndo wasema ivyo ila huyo ndo miss buza harufu yake ya wigi unapata corona!Rayvanny kuimba Miss Buza kawadhalilisha sana, najia hata thamani za nyumba kazishusha huko sababu ya nyimbo yake
Hili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali.
Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko.
Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia Buza.
Umeme unakatika mara kwa mara na kuwa kero. Maji mtandao wa dawasa haujafika.
Mradi wa maji jetbuza ni kitendawili. Na Kitila Mkumbo alisema wameshalipa bil 100+ kwa miradi ya maji ikiwemo w Buza.
Mbunge wa Temeke anakaa Buza lakini hajawahi kufanya hata mkutano na wananchi.
Hivi ndio kusema Dar es Salam ni Kinondoni tu? Japokuwa hata kinondoni kuna maeneo sio mazuri kama Buza mfano Tandale.
Basi kamilisheni mradi wa Jet Buza wa maji ili na sisi tusifikiri mnatudharau. Mbunge wa Temeke upo hata hii ishu huulizii au umehamia masaki?
Ongezea na mishikaki ya sh mia!
Kila mtu anaishi sehemu kulingana na kipato chakeDar yote kama unakokaa kuna wauza miguu, vichwa na utumbo wa kuku ujue unakaa na watu wa ajabu.
Wakaanga samaki na dagaa mitaani, wala kongoro na supu za utumbo ndugu yangu weka malengo ya kuhama in case wewe si wa ajabu.
Ila kama unaona poa tu, basi we ni wa ajabu pia ukihamia sehemu nyingine utaona mizinguo, komaa kibuzabuza