Kwanini SIMBA inashindwa kumnunua Pacome na wenzake 2 kama kweli MO Katoa BIL.20?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,464
2,304
Wadau nawasalimu.Najua kulikubali hili mpaka uwe na akili kubwa.

Mwekezaji Mo Ana asilimia 49 ya Hisa na Wanachama wana asilimia 51

Swali la Msingi
1.Je thamani ya Asilimia 49 za Mo zina Thamani gani?

2.Je thamani ya asilimia 51 za Wanachama zina Thamani gani?

Wanachama wa SIMBA HAWAJUI.

Je wanasheria waliwaeleza Wanachama? Jibu sidhani.

Mwekezaji anadai katoa BIL 20 je Wanachama mmeziona Fedha hizo?

Kama Kweli katoa kwanini BODI ya SIMBA inashindwa kununua Wachezaji ? PACOME na wachezaji 2 walipelekwa SIMBA kabla ya kupelekwa YANGA Je mnajua kwanini SIMBA ilishindwa kuwanunua wakati MWEKEZAJI katoa BIL.20?

Tutaendelea tena kesho
SIMBA 2 NAMUNGO 2
 
Hiyo hela haitakidhi malengo ya timu kama Simba.
Sijui hata kwa nini huwa mnaitaja kama vile ni hela ya kufanya Simba iwe bingwa wa Africa.
 
Iwe BINGWA wa TANZANIA nayo haitoshi?
Hiyo hela hata Ihefu wanayo.
Unaweza kupata mchezaji kama Pacome kwa hela ya kawaida tu. Inabidi uwe na macho mazuri au uwatengeneze tangu utotoni.
Mo angekuwa na academy ya maana miaka saba Sasa mtoto wa 11yrs angeshatengemaa na kuwa pro wa maana.
 
Simba mnaishi kwa nadharia sana. Na hapo ndio kwenye shida kubwa. Mnashikiwa akili na watu wachache sana wanawatoa kwenye reli. Matokeo yake mnaacha ku focus na vitu vya maana mnaishi kwa nadharia.

We ulimuona Pacome akipelekwa simba kabla ya Yanga na wakashindwa kumnunua?
 
Simba mnaishi kwa nadharia sana. Na hapo ndio kwenye shida kubwa. Mnashikiwa akili na watu wachache sana wanawatoa kwenye reli. Matokeo yake mnaacha ku focus na vitu vya maana mnaishi kwa nadharia.

We ulimuona Pacome akipelekwa simba kabla ya Yanga na wakashindwa kumnunua?
Mkuu itakuwa humjui aliyemleta Pacome ndio maana unauliza swali hilo
 
Back
Top Bottom