Kwanini Serikali haijengi Techinical College Kanda ya Ziwa badala yake wanarundika vyuo vyote Dodoma?

Hoja yako ina jambo la kujifunza... ila watu wa Kanda ya ziwa wengi hawana uzalendo wa kukumbuka kujenga kwao.
 
Mtu wenu jiwe alikuwa Rais alishindwa nini kuwajengea hizo technical college Matokeo yake akaenda jenga uwanja wa ndege huko chato maporini, mara lihospital kubwa na kusahau mwanza ka ndio mji mkubwa kanda ya ziwa, so jilaumuni wenyewe
Lawama wanaipeleka kwa SSH. Ama kweli wapusher hawajielewi.
 
Mleta mada ni bwege. Eti ukanda wa ziwa una watu wanapenda masomo ya sayansi. Ni nani kakwambia chuo kinawekwa sehemu wenyeji wana maslahi nacho?? Kama chuo sio kwa ajili ya wenyeji TU basi haijalishi kiko wapi?? Moshi Tech ilikuwa ni kwa ajili ya mji wa Moshi? Au Mbeya Tech na Arusha Tech zilikuwa ni kwa akili ya wenyeji wa maneo hayo??

Nilidhani utaweka maslahi ya kiuchumi. Na kama ni hivo basi kuna makao makuu ya mikoa kadhaa hayana vyuo - Babati, Katavi, Songea, Shinyanga, Simiyu.

Je, kwanini sehemu hizo zisiwe na chuo hicho?? Au watu wa huko hawapendi masomo ya sayansi? Kuna sehemu katika nchi hii zinapaswa kusisimuliwa kiuchumi kwa kuwa na vyuo. Labda sio sahihi kwa chuo hiki kuwa Dodoma lakini kwa sababu zako za kijinga, wakiweke popote!!

Uwezo mdogo wa kufikiri ndio shida ya nchi hii.
 
Mje mjini na nyie mpunguze ugagagigikoko, mnang'ang'ania kusoma hukohuko tu mtaishia kuchunga ng'ombe tu ndio maana mnakuja mjini mnaanza kushangaa madaraja mnasema mabusega yapo mengi sana 😃😃😃😃😃 (joke).

Jokes aside, mliomba Chato iwe makao makuu yenu ya Kanda ya ziwa so subirini ipewe hadhi ya mkoa ndipo muanze haya mengine but kama watafuata plan ya Magufuli basi mtapata chuo cha VETA 😃😃 sio mbaya kwa kuanzia maana naona Geita nayo imenyang'anywa Hadi makao makuu ya Mahakama, mkoa kila kitu.

Tatizo Kanda ya ziwa mnaongea kwa ujumla wakati inapaswa kuangalia wapi na wapi panafaa kuwekwa chuo maana hiyo Kanda ni kubwa Ila sehemu kubwa sana ni mapori let's be honest.
 
Kwa hivyo kwa tafsiri yako kanda ya ziwa yote ni Sukumaland?
 
kumbe lengo la kujenga chuo kikuu pale UDSM ilikuwa kufungua uchumi wa eneo lile???



fafanua hapo ?
 
Wewe nawe ni mjinga tu. Nani kakudanganya kwamba kanda ya ziwa kuna mapori ?
 
Wewe nawe ni mjinga tu. Nani kakudanganya kwamba kanda ya ziwa kuna mapori ?
Mjinga babako hapa inabidi nikurudishie lugha yako ya kishenzi, just Google kidogo angalia ukubwa wa mkoa kama Kagera ni 35,686 km square while mkoa kama Dodoma ukubwa wake ni 2576 square kilometers, hiki ndio nachoongelea na ukiangalia mkoa wa kagera miji ni kidogo sana kushinda ukubwa wenyewe wa mkoa unakuta pale bukoba ndio Kuna population kubwa kidogo kwingine angalia mapori ya biharamulo na kwingine so bwana mdogo labda nikuelimishe tu uache kutukana watu bila kujua unaongelea nini.
 
Ruvuma iko karibu na Dar? Kwa fikra zako nyepesi haistahili kuwa na chuo chochote isipokuwa Mwanza?
Sasa Kama Kuna wasomi wengi huko Kanda ya ziwa unalilia vyuo ili iweje si wapelekewe hao wasionavvyo?
 
Ruvuma iko karibu na Dar? Kwa fikra zako nyepesi haistahili kuwa na chuo chochote isipokuwa Mwanza?
Sasa Kama Kuna wasomi wengi huko Kanda ya ziwa unalilia vyuo ili iweje si wapelekewe hao wasionavvyo?
Sasa muulize anasema kuna wasomi wengi kwani wamesomea wapi Sasa mjinga sana huyo
 
kanda ya ziwa ni kanda pekee yenye watu wanaoweza kuihoji serikali kwa hoja na kwa vitendo na ndiyo kanda yenye wapigakura wengi.

kanda hii kukosa miundombinu ya elimu ya kutosha licha ya wingi wa watu wake inawezekana ni mkakati wa chama cha kijani na serikali yake kuendelea kuona kuwa watu hawa hawapati elimu ili kuwanyima maarifa ya kufikiri sawasawa.
 
Daaa yaani kanda nzima hakuna chuo kikuu cha serkali kwa kweli maajabu haya!
Umajua kwa mfano Tanga hakuna Chuo Kikuu cha Umma lakini ni potential. Kuna wakati unakuta mtu wa Dodoma anajisifia kuwa mji wao ni mkubwa, ila ukweli ni kwamba ni mji ambao unakuzwa na rasilimali za Taifa kwa sababu ni makao makuu. Kiuchumi, Dodoma bila ya kuwa makao makuu au mji mkuu, ni sehemu ya kawaida kabisa. Miaka kama 8 nyuma ilikua haina ubavu hata kwa Morogoro.
Naupongeza mji wa Mbeya kwa kuwa unakua kwa kasi kwa potential zake wenyewe.
 
Hoja yako inakosa mantiki. Kwani unataka chuo ili watu wa Kanda ya ziwa wasisafiri au kwa kuwa kuna hao unaowaita wasomi wengi? Huo usomi mwingi waliupata wapi, ni hapo hapo au wapi? Mbona Tanga, ni mji mkubwa hawana chuo, Tabora, Mtwara( ingawa Mtwara kwa kusini wana chuo Kikuu kimoja na vyuo vidogo vya kati kama TIA, MATC, OUT) nk
 
Hoja yako iweke sawa, haina justifiable grounds!
 
Vyuo vyote vya nchi hii huwa vinajaa vijana kutoka jamii za Kanda ya ziwa(haya,hits,sukuma,kulya,)Kaskazini(Chaga)nyanda za juu(nyakyusa nk)hata pale UDOM wanafunzi wengi ni kutoka hizo jamii,ukienda Lindi na Mtwara,Kuna vyuo vya makanisa vyote vimejaaa Hao hao.sasa ni bora juhudi za lazima zifanywe kuinua hizi jamii zingine,
Kule Dar ukiona askari wa SGA,Kuna asilimia kubwa atakuwa mkulya,mjita,
Wanaomiriki baa na maduka Chaga,ukiona mhandisi,haya,
 
Lindi kuna vyuo vya kanisa? Kama kipi?
 
Wazo zuri ila mpango huo haupo kwenye ILANI ya chama kilichoshika hatamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…