Ni kweli ila serkali lazima iangalie mfano mkoa wa mwanza na ukubwa wake hauna chuo kikuu cha serkali! Na ukisema mwanza maana yake ukanda wote wa ziwa!Kuna sehemu mkuu wa mjengoni alinukuliwa akitoa kauli za kulinganisha kanda ya fulani na Dodoma. Alisahau kuwa kanda fulani watajazana hukohuko wanakovijenga.
Imetoka hiyo mlipewa bahati mkapewa john mkashindwa kumlindaNi kweli ila serkali lazima iangalie mfano mkoa wa mwanza na ukubwa wake hauna chuo kikuu cha serkali! Na ukisema mwanza maana yake ukanda wote wa ziwa!
Karne hii unawaza branch za vyuo,kama unaona elimu ni mali ifuate hata ChinaWewe unafikiri kwann Kalemani kaondolewa?
Serikali haitaki Wasukuma wawe Wataalamu! Ndiyo maana Magufuli alikuwa ana lazimisha MAENDELEO YAENDE KANDA YA ZIWA. Kwa sasa baada ya JPM kuondoka taraatibu Serikali imeanza kurudishareverse ili Wasukuma wabaki palepale...
Daaa yaani kanda nzima hakuna chuo kikuu cha serkali kwa kweli maajabu haya!Wewe unafikiri kwann Kalemani kaondolewa?
Serikali haitaki Wasukuma wawe Wataalamu! Ndiyo maana Magufuli alikuwa ana lazimisha MAENDELEO YAENDE KANDA YA ZIWA. Kwa sasa baada ya JPM kuondoka taraatibu Serikali imeanza kurudishareverse ili Wasukuma wabaki palepale...
Uwepo wa chuo sio kusoma tu ni fursa pia ya eneo hilo kijamii na kiuchumi!Karne hii unawaza branch za vyuo, kama unaona elimu ni mali ifuate hata China
Kaka Kagera na usomi wao wote hakuna chuo cha maana huko ni VETA nayo wamejenga juzi wakati wa JPM!Acha wajenge. Vitajazwa na wahaya na wasukuma. Kwan kipi Bora vyuo au wasomi?
Yaani Nyerere miaka 25 madarakani ilishindwa hata kujenga chuo kikuu huko musoma! Na musoma pasingekuwa pamepoa hivyo kama pangekuwa na chuo kikuu!Kanda ya Ziwa Magufuli tu ndio alipakumbuka. Hata home boy Nyerere hakupakumbuka
Hiyo ni VETA sio technical college kuna tofauti!kuna mji unaitwa Chato kanda ya ziwa, waliwezeshwa kuwa na technical collage, ama ujenzi haujakamilishwa
Mimi sioni shida Sana.Kaka Kagera na usomi wao wote hakuna chuo cha maana huko ni VETA nayo wamejenga juzi wakati wa JPM!