Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA TECHNICAL COLLEGE
Eneo la Kanda ya Ziwa ndo linalotoa wanafunzi wengi sana kwenye TECHNICAL College kulingana na vijana wa ukanda huo kupendelea masomo ya engineering.
Dodoma tayari ina vyuo vingi sana hivyo Serikali iangalie jinsi ya kusambaza vyuo kama hivi maeneo mengine.
Pia kwa Kanda ya Ziwa hakuna huo cha maana cha Serikali kinacho-deal na mambo ya Sayansi na Teknolojia.
Ombi langu kwa Serikali naomba sana Technical College Mwanza ipanuliwe ili watu wasome Diploma mbalimbali za engineering na niikumbusheTechnical za aina hii zipo Mbeya, Arusha na Dar es salaam.