ha ha ha ha! sidhani kama humu ndani kuna mtu aliyewahi kufa...
Mambo vp chitchat User?
leo napenda tujuzane kidogo kwanini sis binadamu tukifa huvishwa nguo maalu ijulikanayo kama SANDA?
je kuna ulazima mtu kuzikiwa hyo ama vp kifupi mwenye historia ya hilo vazi anifungue
Kwa walio Waislam snochetJamani,any updates kwa mnaojua? MziziMkavu kuna sababu zozote kisayansi?