Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Hujui kiwa Samsung wamekuwa giant becoz of OS yao
Apple OS ilivyotoka kulikuwa hamna competitor mpaka android alivyokuja
 
1.defender kwenye win 7 haikua full ant virus illikuwa ni kama companion tu ya security essential, kuanzia win 8 ndio microsoft wakaieka kama full software, tumia kwanza win 10 na defender utaona.

2. mkuu mi natumaini unajua sana haya mambo na unaweza tofautisha kati ya virusi na malware, ant virus ni ngumu sana kukulinda na malware wengine ndio maana unaona mtu anarun ant virus na software kama malware bytes, vitu kama spyware, adware hizo ransomware ni rahisi sana kubypass hizo ant virus.

3. hizo ant virus za mac zina uwezo kiasi gani? maana bila kuruhusiwa kucontroll full system ni bure tunadangayana tu kama vile ant virus za android, zipo ila ni useless sababu hazina power, na unafkiri apple ataipa software yoyote icontroll system?
 
Lakini hizi anti virus zinaji market kuwa pia zinakuprotect with Malwares labda tuseme hio malware protection kutoka kwa anti virus ni kama add on tu kitu amabacho hawafocus sana kama program ambayo imetengezwa kwa malware tu, hivo hivo na malware bytes, itakuprotect sana kwa malwares lakini katika virus usishangae ukaona imekaa kimya.

hizo ant virus za mac zina uwezo kiasi gani? maana bila kuruhusiwa kucontroll full system ni bure tunadangayana tu kama vile ant virus za android, zipo ila ni useless sababu hazina power, na unafkiri apple ataipa software yoyote icontroll system?
Zinafanya kazi kama zinavyofanya katika windows tu, siamini kama windows nayo inaipa full control Anti virus software, would you give someone access to everything to your precious software? Lazima tu pawe na wall, kwamba ikifika sehemu fulani anti virus haina access. I think hii ni kwa OS zote, naamini hata android ambayo ni open source kuna some codes you are not allowed to touch them for security purpose, anyways android anti virus zipo kwa ajili ya kukufurahisha tu.

Inapotokea kuna bug katika OS, hio ni issue ya Developer, hakuna anti virus inayoweza kufix bugs, kwa sababu bugs zimesababishwa na developers mwenyewe, kwahio kuifix hio bug, ni developer aimodify hio code, ndio maana si tunaona kampuni zinatoa patches kufix certain issue, ishatokea kwa iOS, wanafanyia kazi kitu tena kwa haraka wanatoa new update, some things can't be solved by anti virus wala malware because they are not the reason from the start. Hata Windows mkuu, kukiwa na software error nataka uwe na anti virus iliyobora kuliko zote hata hiyo window defender, itakaa kitako haijui ifanye nini mpaka mkono wa developer uingie kutoa patch, so Windows na MacOS na wengine wote, ikitokea ishu ya error within their OS sote tunasubiri watoe update.

Chief mi naamini wewe unajua madhara ya kuipa 3rd party software full system access.....

Ulizungumzia ishu ya loop hole kwenye macbooks kuhusu java, we both know JAVA is developed by someone else not Apple, na umesema kuwa ni Oracle, the solution was either for users to find a way to completely remove JAVA from their PC, or Oracle to find a fix quickly on THEIR SYSTEM. Unafikiri Windows defender ingefanya nini kwa software ambayo errors zimetokana na some other developers? Ingetokea kwa Windows, hata wao wangewasubiri ORACLE watoe solution, kwa sababu wao hawana access ya ORACLE systems, ni kampuni tofauti. Labda mkuu tatizo liwe kwa pande zote 2, yaani Apple na Oracle wawe wamefanya kosa kwa pamoja, labda kuna some codes zao wametumia katika kushirikiana matokeo yake zikaleta hio loop hole, Au iwe programming error ya Apple (which i think this might be the issue, if Apple had to Update the MacOS and not Java). Kwa maelezo yako inaonekana Oracle ndio alikuwa na hilo tatizo lakini mpaka update wametoa Apple basi kuna kitu hio java system ishakuwa blocked isifanye (hii statement i hope umenielewa nlivokusudia).

mimi sio mtaalamu sana wa hizi mamboz, zamani nlikuwa nafatilia sana technology na nlikuwa napenda kutizama bbc click nione kinachojiri, siku izi natizama sana news za kawaida tu. Lakini inaonekana JAVA ni problem kwa system zote, ukiwa na java unakuwa vulnerable, ndio maana apple wameiditch katika iOS, huenda wakaiditch completely katika MacOS kustay safe. Au wewe mkuu unaonaje kuhusu JAVA?
 
mkuu soma hii article wamefafanua vizuri kuhusu virus na maware na jinsi ant virusi zinavyoconcetrate kwenye vitu fulani na malware wa kisasa

https://blog.malwarebytes.com/101/2015/09/whats-the-difference-between-antivirus-and-anti-malware

mfano wa malware common kwa sasa ni browser hijack ambaye anakuekea ads na website zake kwenye browser yako, ant virus nyingi hazimzuii huyu jamaa na pengine wanamuona kama ni kitu cha kawaida (sio threat) lakini ukiweka tu malware bytes anatolewa.

kuhusu hizo ant virus tutumie mfano wa hio java, ant virus za windows zina permission za kuingilia hata hio java na zinakulinda na hio exploit mfano kaspersky japo si exploit zote, exploit mpya mpya unaweza ukalizwa. ila kwa mac ni either apple wapatch au java wenyewe watoe solution,

ant virus za windows zina ruhusa nyingi sana nyengine ukiwasha tu pc zinafanya kazi kwenye boot hata kabla haijawaka.

na java ina program nyingi sana huwezi kuiditch moja kwa moja, ila wanachofanya ni kutengeneza technology mpya kui replace kidogo kidogo
 
Ila uzuri unaweza kuweka custom rom kwenye s2. Trust me hata lollipop unaweza ipata ukaeka na ikapiga kazi freshi tu. iphone unaweza fanya hivyo?
 
Android mpaka kieleweke tu...Kernel ya android ni very strong.

Android ina custom capabilty na ndipo hasa jeuri ya samsung ilipo,wala hata sio hio Amoled wala cameras. Nokia alishakuwaga na hivyo kabla hata samsung hajakiki ila alipokosea transition ya OS akadondokea uso.

Samsung akijiloga tu kufanya direct conversion kwenda tizen inakula kwake mazima trust me in that. Sidhani kama ana akili ndogo kiasi hicho, tokana na mfano wa Nokia.
 
Labda naweza kukubaliana na wewe kwenye suala la simu kwenye baadhi ya vitu lakini sio kwenye suala la pc, may be kama unaongea kinadharia tu, hebu niambie ni notebook ipi ya samsung imeipita notebook ya Apple!? Na imeipita katika vigezo vipi labda tuanzie hapo
 
Ila kweli. [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Haya mambo hayahitaji nadharia... Hivyo sipo kinadharia.

Nazungumzia Samsung Notebook 7 Spin.

If you've ever wanted a MacBook Pro without selling a kidney to afford it, the Samsung Notebook 7 Spin not only delivers the style and glitz of Apple's professional-level laptops, but it even adds a touchscreen to the mix for an approachable starting price. For a hefty 2-in-1 with a Core i7 CPU, 12GB of RAM and even a discrete Nvidia GPU, the Samsung Notebook 7 provides top of the line specs considering its value.

Ebu jaribu kuingia Pcmag,techradar na cnet then angalia rating za Macbook Pro na Samsung Notebook 7 Spin utajiridhisha.

Pia kuna Samsung Notebook 9...

The Samsung Notebook 9 may not be the flashiest title on the list, but at $949 it does offer more bang for the buck than you'll see in most laptops. That's because unlike much of the competition now, it's an Ultrabook with a full-fledged Core i5 Skylake processor. That alone makes it effectively more powerful than a MacBook Air with a better screen resolution and price point to boot.

Nadhani umenielewa mkuu.
 
Kuna watu wanaongea tu bila kuwa na uhakika wanachosema
 
Mbona iPhone wanatengeneza simu za 256GB, hebu niambie we unatumia simu gani na internal storage ni ngapi na wewe umeweka sd ya ngapi inayopita hiyo 256GB!?
 
Mbona iPhone wanatengeneza simu za 256GB, hebu niambie we unatumia simu gani na internal storage ni ngapi na wewe umeweka sd ya ngapi inayopita hiyo 256GB!?
Hili swali ungemuuliza yule wa apple aliyemuuliza jamaa ataweka nini katika sd card ya 128gb??

Maana kwa iphone hata 2gb storage ni nyingi sana, achilia mbali 16gb.
 

Kwa ushabiki huu hata kana una iphone basi unafuata mkumbo tu.

Hadhi gani inayopatikana kwenye simu ya iphone 4s, umeshawahi kukutana hata na s6 tu achilia mbali hiyo 7???.

Eti uko na simu inazuia piracy bongo[emoji23][emoji23][emoji23]๏ฟผ, mpaka bluetooth jaman[emoji22] , iphone ni simu flani kama umeshikiwa akili ndio utaielewa.

Halafu naona kama apple kachoka kwenye 7s, ina muonekano usio na msisimko kama 6s[emoji276] sasa kwa hiyo bakora ya s8 sjui atamjibu nini samsung.
 
Mbona iPhone wanatengeneza simu za 256GB, hebu niambie we unatumia simu gani na internal storage ni ngapi na wewe umeweka sd ya ngapi inayopita hiyo 256GB!?
Hujaelewa somo.

Simu zinavyoelekea sasa hivi zinakwenda kuwa zinaongezewa accessories zaidi. Ndiyo maana kuna mpaka vionjo vya nyongeza kwenye camera ukitaka kupiga picha vizuri zaidi. Au unaweza kuunganisha simu yako na home security system etc.

Kwa hivyo, simu kuwa na sehemu ya kuwekea external storage ni muhimu sana kwa watu wanaotaka kutumia teknolojia ya sasa.

Simu zinataka kuwa kama computer, ushaona computer ambayo haina kabisa uwezo wa kuwa na external storage?

Nitakupa mfano kuelezea zaidi.

Mimi nina SD card kama kumi za 64 GB na kumi nyingine za 128 GB. Kuna moja imejaa documentaries za Al-Jazeera tu, kuna nyingine imejaa muziki wa Hip Hop tu, kuna nyingine zinajaa TV series tu, kuna nyingine zimejaa HD movies tu, kuna nyingine zimejaa vitabu tu (epub, pdf, mobi etc), kuna nyingine zimejaa audiobooks tu, kuna nyingine zimejaa R&B Soul muic tu, kuna nyingine imejaa classical music tu, kuna nyingine imejaa bongoflva tu, nyingine imejaa documentaries za PBS tu, nyingine imejaa documentaries na shows za BBC tu etc.

Muda wowote nikijisikia kuweka sd card yoyote kati ya hizi naweza kuweka kwenye simu nikatumia.

Wewe unayetegemea 256GB za simu yako - kama unaweza ku afford hiyo simu ya 256 GB, ambayo by the way iko ridiculously overpriced ukilinganisha na bei ya sd cards mbili za 128GB- huna uwezo wa kubadili SD cards ili uamue on the fly kuangalia documentaries za Al-Jazeera au any of the other alternate items listed above.

Choice is always a good thing, even if you are not using it,Just having it is liberating.

Inawezekana level yangu ya udadisi iko tofauti na yako na ndiyo maana wewe unaona GB 256 ni nyingi sana na mimi nakushangaa.

Unanikumbusha mwaka 2000 nilikuwa jengo la IPS hapo katikati Dar katika mizunguko ya kazi. Nilikwenda ofisini kwa jamaa mmoja. Tukawa katika mazungumzo kuhusu maisha, mapambano ya kutafuta hela na kuridhika. Basi kukawa na jamaa mmoja kama mesemja hivi wa pale ofisini, akaulizwa, hivi wewe kwa sasa ukipata kiasi gani cha fedha utaridhika kabisa?

Yule mesenja akajibu. Mimi nikipata shilingi milioni 100 nitaridhika kabisa.

Kwa mahesabu yake, milioni 100 - si hela ndogo kwa wakati ule- ilimtosha kabisa.

Basi yule bosi akashangaa sana inakuwaje mtu aridhike na milioni 100. Kwa sababu yeye alikuwa anaipigia hesabu hela ile kwa matumizi yake, kulipa kodi ofisi kubwa IPS, mafuta ya magari ya ke ya binafsi na ofisi, kodi, mishahara ya wafanyakazi etc etc. Kwake milioni 100 ilikuwa hela ndogo sana.

Sasa siwezi kushangaa unapoona GB 256 ni nyingi sana wakati mimi kila baada ya miezi miwili inanibidi niongeze angalau 2TB za storage katika network yangu.

By the way, natumia simu inayo support 1TB external storage, ingawa hizo sd card bado hazijawa widely available kwenye soko.
 
Hizi zote ni complications tu, mimi sihitaji kuweka hizo documents zote kwenye simu, mi naweka ducoment chache tu kwenye simu ambazo najua mda wowote nitazihitaji kwa ajili ya productivity hasa ninapokuwa kwenye kazi zangu, na mara nyingi document zangu za muhimu huwa zipo kwenye cloud storage ili kuepuka security risk, masuala ya documentary au movies, sijui TV series and the co huwa naweka kwenye HDD ya PC kwa sababu najua mi siwezi kuangalia TV series on the go, on the go mi huwa nasikiliza sana muziki, ninapokuwa nimepumzika ndo naangalia hizo TV series tena kwenye TV na sio kuumiza macho kwenye kidisplay kidogo cha simu. Kwa hiyo kutembea na hizo chip 10 za SD card kwangu mi ni kama utumwa
Mkuu, siku nyingine jikite kwenye mada na sio story
 
Hili swali ungemuuliza yule wa apple aliyemuuliza jamaa ataweka nini katika sd card ya 128gb??

Maana kwa iphone hata 2gb storage ni nyingi sana, achilia mbali 16gb.
Mkuu, kuna watu wanapenda sana kucomplicate maisha
 
Wewe unachoita complications ni basic feature.

Cloud ina security risk nyingi tu pia. In principle naweza ku encrypt habari zangu mwenyewe vuzuri zaidi ya habari zilizo kwenye clous. Pia huwezi kuwa na access na cloud muda wote.

Simu kukosa sd card na kutokuwa na removable battery ni kukosa basic features.

Sasa kama una less than basic needs, na simu iliyo na less than basic features inakutosha, that is a totally different issue.

Huna uwezo wa kujua nini mada na nini story.

Kimsingi unakataa kuwa na control ya mambo yako mwenyewe na kuipa kampuni control.
 
Kwenye masuala ya specs ni kawaida ya Apple devices kuachwa mbali na kampuni nyingine lakini kwenye perfomance wise hakuna kifaa chochote ambacho hizipita devices za Apple, ndo maana watu wa productivity huwa wanaangalia hardware na software specs lakini mwisho wa siku lazima arudi kuangalia na kufanya perfomance comparison ya hizo devices, kama sipo sahihi nipo tayari kusahihishwa
 
Simu za Apple unaweza hata kutoa battery?
 
Tangu lini simu kuwa na removable sd card ni basic feature? Hivi kwa mfano nawezaje kukosa cloud access?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ