Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Mkuu iphone kweli hiyo ni dunia nyingine, watu wanajipa moyo tuu na hata kuthubutu kilinganisha iphone na Samsung ila waanachwa mbali sana. Ukiangilia specifications kwa maandishi utaona kila kitu iphone inazidiwa ila ukija kwenye utendaji ni habar nyingine.
Iphone guaranteed kutumia miaka 3 usipate shida yeyote.
Kukazia hoja watu waende kwa mafundi simu utaona simu mbovu nyingi ni zip. Kuanzia kupasuka vioo na mambo mengine.
Ukiona iphone basi ya wizi mtu kapaleka kutolewa icloud sio mambo mengine.
Mi natumia iphone 6 ya 2014 had leo siwaz kutembea na power bank wala uchafu mwingine
Nasubir mwaka wangu huu wamwisho niupdate ios 11 nibadili device kwajir ya ios

Binafsi natumia iphone 4s,niliagiza uk april 2012 naitumia hadi leo hii sasa hivi naandika hii comment (yapata sasa miaka 5),sijawahi kwenda kwa fundi,sijabadili battery,power bank huwa naziona tu watu wanazitumia....
This is not just a phone....i call it more than a phone
 
Binafsi natumia iphone 4s,niliagiza uk april 2012 naitumia hadi leo hii sasa hivi naandika hii comment (yapata sasa miaka 5),sijawahi kwenda kwa fundi,sijabadili battery,power bank huwa naziona tu watu wanazitumia....
This is not just a phone....i call it more than a phone
Unaweza kuweka sd card?
 
Ni kweli wengi wanapenda iPhone kama status symbol, mtu huyu ukitizam simu yake mna whatsapp, instagram, snapchat na photo editing apps, basi! amenunua ili apate status symbol tu. Lakini kuna wengine hawatumii kwa sababu ya status symbol, ila kwa sababu OS yake iko smooth katika kufanya shughuli zake za kazi, unlike android, android naona ni sawa na kusema windows OS tu, nakumbuka zamani ikifreeze ndo utaona utamu wake unajaza screen na tabs tu 😀 Ukija kwenye Privacy, mhhh, labda iphone wanasaidia sana apps zisichukue info from you bila permission, lakini hii ni US company, NSA ndio macho yao, juzi tu kuna skendo kwamba NSA wanachunguza iPhones


hapa mkuu devices za apple zinaweza kukaa mitaani kwa miaka mingi sana kuliko hata huyo Samsung, hapa nazungmzia products zote na hasa laptops. Nilikuwa na Lenovo brand new natumia, nimetumia kwa one year tu laptop imeanza maajabu yake ya windows kama kawaida, full kufreeze, tena ina Anti virus ambayo imekuwa installed kabisa yaani kitu genuine, yaani imekuwa inaboa kabisa kuitumia, mpaka kazi zangu nkawa sifanyi vizur, ofisini nnapofanya kazi mwenzangu ana macbook pro ya 2010, yaani anapiga mzigo fresh haisumbui, ilibid ninunue tu na kuweka lenovo pembeni, sasa we imagine, tangu 2010 mpaka leo miaka mingap kitu bado kipo mzigoni? OS za Apple ndio zinawasaidia sana ila kwenye iPhones Apple wanyambi, wanaktisha updates za new iOS unaikuta simu yako unaishia kupiga na kupokea na kupiga picha, hapa wanafanya makusudi kuforce watu wanunue simu nyengine, hapa wameboa sana!!!!!

Kwenye kukatisha update za iOS nakataa,juzi hapa ndio wamekatisha update ya iOS 9.3 kwenda iOS 10 kwenye iphone 4s. Wakati iphone 4s ilizinduliwa mwaka 2011. Mfano samsung s2 iliyozinduliwa mwaka 2011 iliishia kwenye android 4.1 jell bean. Je ni nani anaekatisha update za simu zake haraka kati ya apple na android?
 
Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.

Sidhani kama watashindwa kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye R&D ya kutengeneza OS yao.

Faida kubwa watakayopata ni ku-customize software na hardware kama Apple na Windows Phone wakati ule. Na hata tatizo lililoikumba Note 7 lisingetokea mwaka jana.

Faida nyingine ni kuwa na loyal customers ambao itawawia vigumu kuwahama kwasababu ya uniqueness ya OS yao. Mfano kwa sasa iphone na nokia ya wakati ule wameshatengeneza loyal customers kiasi kwamba kuhama platform zao imekuwa shida sana.

Ila kutumia android kuna wapa wateja option ya kuipata android sehemu nyingine na hata ushindani na makampuni mengine yanayotengeneza simu za Android unakua mkubwa. Ila wakiwa na OS yao watawapa ugumu loyal customers kuhama brand.

Play store imejaa malware, kila mtu anaweka app yake hata kama imekaa hovyohovyo. Wakiwa na OS yao, hawatawapa mwanya developers wanaoweka uchafu kwenye store watakayoitengeneza.

Samsung anauza mamilion ya simu, sio mbaya kuanza tayari anauza simu nyingi kwa mwaka.
Tunahitaji varieties za OS sokoni, kuwa na Os chache kunakinaisha.
Katika hili naunga mkono na natamani sana iwe ivo maana watumiaji wa android huwezi mlinganisha na ios kwa sababu ukiwa na s7 mfano huwezi tofautiana sana na mtu mwenye tecno y2 sana utamzidi camera, storege, na speed tu. hii kitu inaishusha sana hadhi samsung leo hii ukiwa na iphone 4s kihadhi unamzidi mtu mwenye samsung s6 edge, binafsi ni mpenzi mzuri sana wa bidhaa za samsung kwa sbb ni simu nzuri sana na bei yake hadi ujipange lkn pamoja na hayo yote tecno huawei na watumiaji wengine wa android hawatishwi na s8 yako maana wote mko chumba kimoja
 
Nashukuru kwa kuniweka sawa kwenye battery life.
Kama hao big players wamekataa kwanin wasitengeneze nyingine ambayo unaweza kucustomize na internet of things?
Kama ningekuwa CEO wa Samsung Mobile ningeamuru tutengeneze eco system yetu. Ianze na mobile phones, tablets hadi personal computers.
Mwanzo mgumu ila najua matunda ya mbeleni ni makubwa mno.
Simu 300M zenye OS ya Samsung unadhani ni faida ndogo?
Hata developers wangeimezea mate hiyo Platform.
Hizo 300m zikiwekewa hiyo tizen zitanunuliwa 10m tu....sababu ya kununua samsung ni android na si kingine....
I think kitu kikubwa wabadilishe interface...
 
Iphone zote hazina sd card,inbuilt memory inatosha...16,32,64gb
Inatosha kwa wasiotumia simu to the fullest. Kwa sasa hivi nina simu inayoweza kupokea sd card ya 1TB, kinadharia naweza kutembea na computer nzima kwenye simu.

Tatizo simu ina uwezo mkubwa kuliko SD cards zilizopo kwenye soko.

Unapoisifia simu wakati hujafanya matumizi ya "power user", unaweza kusifia hata kibatari.
 
Hiki unachoshauri Samsung sio kitu kizuri kama unavyodhani. Unawashauri watengeneze monopoly kwa sababu wewe huna ndoto ya kuingia sokoni?! Microsoft alijitahidi sana kufanya huu ujinga na watu wamepambana hadi imefikia mahali wameanza na wao kufungua software code base zao kwenye public. Unaweza kudhani ni kitu kizuri ila ni mbaya sana kuwa na kampuni kubwa chache zinazojimilikisha soko katika sekta yeyote kwa sababu inakuwa rahisi kwao kucontrol bei na kupangia watu nini cha kufanya.
Very true... Microsoft hawana app nyingi ambzo zipo sokoni nimetumia microsoft mobile last year....its boring
Very few apps ila mwanzo mgumu inakua taratibu i think aftr some years watarudi vizuri na windows 10 yao ipo poa
 
Mkuu mi sikubaliani na wewe!...
Iphone habari nyingine kabisa...
Kama hujawahi tumia we jaribu utanipa majibu,najua ni ushabiki....jaribu kuitumia
iPhone is more than a phone mkuu
Mi nimetumia zote.... iphone ni nzuri lakini sio kwa mtu mpenda mengi...
 
Kutengena os yako mwenyewe sio kitu cha mchezo mchezo fikiria windows na ubabe wao wote lakin wameshindwa kutoboa
 
Inatosha kwa wasiotumia simu to the fullest. Kwa sasa hivi nina simu inayoweza kupokea sd card ya 1TB, kinadharia naweza kutembea na computer nzima kwenye simu.

Tatizo simu ina uwezo mkubwa kuliko SD cards zilizopo kwenye soko.

Unapoisifia simu wakati hujafanya matumizi ya "power user", unaweza kusifia hata kibatari.

So unataka simu yenye 1Tb unatunza nini?..
 
So unataka simu yenye 1Tb unatunza nini?..
Classified material.

But thats not the point.

The point ni keamba una simu ambayo ina limitation kubwa sana katika auxiliary storage na uwezo wa kubadili content en masse, halafu unaisifia sana.

Unaisifia sana kwa sababu hujajua matumizi ya power user.

Hujajua kwamba umefungiwa kwenye ecosystem.
 
Classifid material.

But thats not the point.

The point ni keamba una simu ambayo ina limitation kubwa sana katika auxiliary storage na uwezo wa kubadili content en masse, halafu unaisifia sana.

Unaisifia sana kwa sababu hujajua matumizi ya power user.

Hujajua kwamba umefungiwa kwenye ecosystem.

Simu yangu ina 32gb..
Inatosha sana kwa matumizi ya simu,hata wao sio wajinga wanakupa choices kulingana unavyopenda the more the memory the expensive the phone, hizo zenye sd slot unakuta inbuilt memory ni ndogo sana so ili uweze ku expand wanakupa uhuru wa kununua sd tena nyingine wana kulimit sd memory!..
 
Simu yangu ina 32gb..
Inatosha sana kwa matumizi ya simu,hata wao sio wajinga wanakupa choices kulingana unavyopenda the more the memory the expensive the phone, hizo zenye sd slot unakuta inbuilt memory ni ndogo sana so ili uweze ku expand wanakupa uhuru wa kununua sd tena nyingine wana kulimit sd memory!..

Umeisifia simu yako "This is not just a phone....i call it more than a phone".

Wakati simuiko very limited kwenye storage.

Siku hizi watu wana download ma video, ma audio, ma graphics. 32 GB kwa Whatsapp tu haitoshi.

Hiyo simu ni ya kuwekwa makumbusho ya kuonyesha simu za zamani zilivyokuwa na storage limitation.
 
Zunguka na hizo memory zako lakini iPhone is best phone ever!..
 
Hivi mkuu apple wametoa iphone 6 plus lakini ipo katika version ya android?
Maana kuna jamaa anayo hapa mi nikajua kopi lakini nimejaribu kuicheki camera iko poa,mzigo inapiga vizuri tu.
Mimi ninavyofahamu iphone ipo katika version ya ios hili limekaaje?
Feki hiyo
 
Kuhamasisha app developers ni changamoto sana.Huoni windows phone inavyojikongoja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom