TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la watu maarufu ndani ya republican wanaompinga Donald Trump, mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama hicho. Alianza John McCain, Mitch McConnell,Lindsey Abraham,Mitt Romney na sasa kuna afisa mstaafu mmoja wa jeshi.Hivi ni kwanini wanampinga sana Trump? Anatishia maslahi yao?Ni tishio kwa ajenda yao ya kuendelea kuleta machafuko sehemu mbalimbali za dunia kwaajili ya maslahi yao ya kimadaraka na kuuchumi?