Kwanini Republican establishment wanamchukia sana Donald Trump?

Binafsi nampenda trump yaani harembi
Tuelimishe nini hicho ambacho harembi na kinakukuna?
Kwangu mimi harembi lakini katika upumbavu, unafiki, ushari usio na sababu. Kwa mfano, anadai wahamiaji ndiyo wamezidi nchini kwake na anataka kuwarudisha makwao. Kiranga hapo juu amesema jinsi ambayo Trump anadai kuwatimua wahamiaji ambao yeye mwenyewe anawategemea kwa kiasi kikubwa. Pili, ni mtu mjinga tu atakubali feasibility ya kuwarudisha makwao wahamiaji milioni 11 walio nchini Marekani. Pesa zitakazohitajika kwa operation hiyo na organization ya mradi huo ni kitendawili kisichoteguliwa. Kwa hivyo matamshi ya kwamba tutawarudisha kwao yanawafurahisha watu kwamba harembi, lakini it is hypocritical na empty and impossible promise.
Harembi kwa kuwatukana wanawake kwa maneno ambayo kwa adabu zangu siwezi kuyarudia. Hayo ndiyo yanakukuna.
Harembi, kwamba Wachina wanawazidi kiuchumi na kwamba atawaadabisha? Huu ni upumbavu mkubwa ukizingatia kwamba yeye mwenyewe na binti yake Ivanca wanatengeneza nguo nyingi na vitu vingu huko China. Kwa hivyo, nani aliye-export kazi kuzipeleka China kama si watu kama Trump.
Harembi nini kinachokukuna? Kwamba yeye atamwaga mabomu Iraq halafu atachukua mafuta yao. Katika karne hii, baada ya kurudia makosa ya Vietnam huko Iraq na Afghanistan, mtu bado anazungumzia kumwaga mabomu? Machafuko tunayoyaona hivi sasa yanatokana na uongozi wa Marekani wa muongo uliopita kufikiria kwamba wanaweza kumwaga mabomu tu (shock and awe). Matokeo yake ndiyo imezuka ISIS. Kuna mengine mengine ningeweza kusema.
Najua unafikiria kwamba harembi kwa kuwasema akina M7 na Mugabe. Ukweli ni kwamba HAJASEMA lolote kuhusu watu hao. Habari hizo zote zimetoka kwenye magazeti na mitandao ya tashtiti au "satire." Fikiria mambo hayo critically, si swala la ushabiki tu kwamba unaipenda timu yake. Na wala usihadaike na tamko moja la mtu.
 
Mkuu... Itapendeza zaidi kama mtakuwa mnatofautisha wahamiaji, na wahamiaji haramu!.
 
Point taken. Kuna "wahamiaji haramu" milioni 11 Marekani. Na wazungu wote walio-colonize Marekani kwanza hawakuomba hata ruhusa. Wao ndiyo hasa origina wahamiaji haramu. Haya mengine yote yanatokana na xenophobia. Nauliza uhalali wa kuwaita wengine "wahamiaji haramu." labda 'undocumented workers' ni bora zaidi.
 
Trump naye mnafiki tu.

Anasema atawafukuza wageni Marekani wakati yeye mwenyewe anawaajiri na wake zake wawili kawatoa Eastern Europe.

Acha kukurupuka kwa story za kuambiwa yeye alisema atawaondoa wahamiaji haramu ambao wamezidi kuwa wengi hasa wa kutoka Latin America
 
Mkuu... Itapendeza zaidi kama mtakuwa mnatofautisha wahamiaji, na wahamiaji haramu!.

Unajua kwenye siasa bana perception ndo reality.

Trump hajawahi kupinga wahamiaji.

Anachopinga sasa hivi ni wahamiaji haramu.

Jambo ambalo karibu duniani kote [ikiwemo Tanzania na Mexico] ni kinyume na sheria.

Lakini kwa vile perception ndo reality kwenye siasa, ndo maana unaona watu wala hawana muda wa kutenganisha.

Wote wanarundikwa kwenye tenga moja tu.
 
Acha kukurupuka kwa story za kuambiwa yeye alisema atawaondoa wahamiaji haramu ambao wamezidi kuwa wengi hasa wa kutoka Latin America
Trump kaajiri wahamiaji haramu wa kutoka Poland mpaka wamempiga fine.

Nani anakurupuka sasa?
 
Point taken. Kuna "wahamiaji haramu" milioni 11 Marekani. Na wazungu wote walio-colonize Marekani kwanza hawakuomba hata ruhusa. Wao ndiyo hasa origina wahamiaji haramu. Haya mengine yote yanatokana na xenophobia. Nauliza uhalali wa kuwaita wengine "wahamiaji haramu." labda 'undocumented workers' ni bora zaidi.

Lakini, hili suala la uhamiaji haramu si Marekani tu. Hata Mexico hukamata na kuwarudisha wahamiaji haramu.

Hata Tanzania pia. Cheki hapa chini;

Tanzania kusaka wahamiaji haramu

Serikali ya Tanzania imetangaza kuazisha operesheni kali ya kuwasaka wahamiaji haramu ikiwemo wale wanaofanyakazi kinyume na sheria. Hatua hiyo iliyotangazwa na wizara ya mambo ya ndani ni sehemu ya kukabilia na vitendo vya uhalifu na kuwawezesha Watanzania kupata ajira chache zilizoko.
 
Trump huwa analia na wahamiaji haramu, ambao huwa inadaiwa keshawahi kuwaajiri baadhi yao.

Sijawahi hata siku moja kumsikia akiongelea kuhusu wahamiaji halali.

Matatizo ya siasa ndo hayo....perception vs reality.

Hata yale mtu ambayo hajayasema watu wanadhani kayasema kwa sababu tu kuna dhana flani juu yake.
Wewe umeongea point na ukweli. Trump anaongelea wahamiaji haramu lakini watu wanamtengenezea kuwa hataki wahamiaji na mara nyingi watu wanamuweka maneno mdomoni na watu hurukia kuyasambaza bila kuhakiki kama ni kweli yametamkwa naye. Ni aibu watu kusambaza uzushi zama hizi wakati means za ku prove zimejaa....just kwa google unapata uhakika wa taarifa husika
 
Trump ni 'time bomb'
Trump Univesirty ikafeli
Trump Airline ikafeli

wanadai hata utajiri wake ni dollar milioni 200 tu nazo ni urithi

biashara zake nyingi zime flop
zinafanikiwa hazimiliki yeye ni jina lake tu ndo biashara now sababu ya TV shows zake

Na huku kwenye urais.....wameanza now kumdhibiti
hatakuwa Rais wa Marekani
Hatakuwa raisi wa Marekani!!!! Hao wanaomfanya hadi leo aongoze unafikiri wana mtindio wa ubongo?
 
Hivi kuna mwenye Uraia wa Marekani hapa?
Trump ilionekana anapigwa sana kwenye primaries ila tofauti ni kuwa kapata watu wengi sana mfano leo voters wake ni zaidi ya wale waliopiga dems combined jimbo la Michigan

Kama alivoshinda Obama ndio atavoshinda huyu Trump kila mtu anataka jobs zilizoenda China zirudi Marekani
Viwanda vinakufa kule na jobs zinapotea only Trump can

Obama amekuwa vere weak sana yeye na Mkwere hawana tofauti
 
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la watu maarufu ndani ya republican wanaompinga Donald Trump, mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama hicho. Alianza John McCain, Mitch McConnell,Lindsey Abraham,Mitt Romney na sasa kuna afisa mstaafu mmoja wa jeshi.Hivi ni kwanini wanampinga sana Trump? Anatishia maslahi yao?Ni tishio kwa ajenda yao ya kuendelea kuleta machafuko sehemu mbalimbali za dunia kwaajili ya maslahi yao ya kimadaraka na kuuchumi?
Trump ni TISHIO kwa genge linaloongozwa na watu maarufu wanaoshika hatamu za Marekani kiuchumi,kisiasa na kimataifa linalojumuisha matajiri,viongozi hata wa Republican na Democratic genge hili linashikiria pia viwanda vikubwa hata vya silaha,mashirika makubwa n.k Marekani na Ulaya lijulikanalo kama 'the establishment' na lengo lao kubwa ni Kuunda SERIKALI 1,SARAFU 1 MTAWALA M1,DINI 1 Chini ya mpango uitwao..NEW WORLD ORDER

Hivyo kuna makundi mawili Marekani, the insiders(wandani ya mfumo wa hilo genge) na outsiders(wanje ya mfumo) sasa Trump yeye hayupo ndani ya genge hivyo anaitwa outsider na kwa Utaratibu uliopo ni kuwa MTU HAWEZI KUWA RAIS WA US KAMA HAYUPO KTK HILO GENGE la the establishment kwani huenda akaathiri mipango ya mda mrefu ya wakubwa hao wa Ulimwengu na biashara zao pia(ikiwemo silaha) ndio mtihani alionao trump hata ktk chama chake Republican

Kifupi huwezi kuwa Rais wa U.S kama sio FREEMASON, 'the establishment' ni ngozi ya juu tu..
 
Kwa hiyo Obama alikuwa ndani ya"The Establishment" ndio maana akawa president au????
 
Viongozi wote waliotawala Marekani wamo ndani 'the establishment' na genge hili ndo huidhinisha mtawala wa Marekani-kwa undani Soma gazeti la leo la Mwananchi au li-search ktk fb-page yao
 
Mimi nilishangaa sana Obama aliposema kuwa Trump hawezi kuwa Rais! Lazima kuna kitu anakijua. Otherwise asingeweza kusema hivyo.
 
Viongozi wote waliotawala Marekani wamo ndani 'the establishment' na genge hili ndo huidhinisha mtawala wa Marekani-kwa undani Soma gazeti la leo la Mwananchi au li-search ktk fb-page yao
Mkuu ni kweli na safari hii walikuwa wanamtaka Rubio awe mgombea toka Republicans, lakini ndio hivyo tena hafanyi vizuri na inawezekana akapoteza hata nyumbani kwake FLORIDA.
 
Back
Top Bottom