Trump huwa analia na wahamiaji haramu, ambao huwa inadaiwa keshawahi kuwaajiri baadhi yao.
Sijawahi hata siku moja kumsikia akiongelea kuhusu wahamiaji halali.
Matatizo ya siasa ndo hayo....perception vs reality.
Hata yale mtu ambayo hajayasema watu wanadhani kayasema kwa sababu tu kuna dhana flani juu yake.
Jamaa anaandamwa na wafanya biashara wakubwa mno marekani ambao ndio wanasponsa jampeni za Hillary Clinton.
mataifa kama saudi arabia, south korea, japan, kuweit, jordan, china na vietnum. Mengi ya mataifa haya yana mslahi makubwa ya kiuchumi na usalama hivyo change ya foreign policy na renegotiation ya trade deals na nchi hizi kama "nafta" na "tpp" akizizikazia Trump kuxibadilisha zinawatia kiwewe mataifa hayo. Mataifa kama saudi arabia, kuweit, south korea, jordan, japan haya mataifa yana mikataba ya kiusalama na america, kulindwa na majeshi ya america na yawapo kwenye vita na nchi yeyote America lazima ingilie. Anachlalamika Trump ni kua, mikataba hii inawanyonya na america kwa sasa inadeninkubwa la dola trilion 20 naa na wakati nataifa hayo ni matajiri wamafuta na mengine uchumi wao ni mkubwa na watu wao wanamaisha bora kuliko america wakati America inalipwa kiduchu kwenye mikataba hiyo. Aneliongea hili kwenye kampeni Atalanta. Kua lazima nnchi hizo ziwalipe heka za maana kwa kulindwa.
unapikuja kwenye trade deals kama tafta na tpp kwenye kampeni ndani ya florida kwenye mji nwingine sio Atlanta, anawalalamikia Hela alizopewa Hillary Clinton 48 500 000 million dollars na wafanya biashara, kuweit $10m, saudi arabia $25m na jordan $5m. Wafanya biashara wakubwa wametoa kilichobaki.
kikubwa hapa ni ni kuwa makampuni makubwa usa yaanaamisha biashara kupeleka Mexico kutokana na Tax kubwa usa lakini bidhaa wanazotengeneza ndani ya mexico soko ni usa quota free na duty free bidhaa hizo zinaingizwa usa na hili limrsababisha makampuni maelfu kuekekea mexico.
Hillary Clinton anataka ongeza tax na Trump anadani yeye atapunguza tax, nakujenga ukuta na mexico pia trade deal lazina zibadilishwe wao ba china, south korea, vietnum, japan na Mexico. No duty free kwa bidhaa za inchi hizo usa ilikuziridisha kampuni nyingi zilizo kimbilia Mexico na kufanya usa shamba la bibi.
yupo sahihi while Clinton anataka ongeza tax na ni hai wafanya biashara eakubwa ndio wamechangia hela za kampeni zake ili kampuni ziendelee kua Mexico, tax ndogo wanalipa, cheap leba ndani ya Mexico wakati manufakcha goods soko ni USA zikiingizwa duty free.
Waamerica walikua wamelala jamaa kawaamsha.