Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Hiyo kitu inaniuzi sana ndo mana nimezikimbia though kuna fundinkaniambia zinarekebishika..
Unafanya kitu kinaitwa kemba...... (sijui inaandikwaje kikoloni).......inakaa vizuri........
Ukiangalia vizuri.......karibia Rav4 zote zipo hivyo........ni kitu kidogo sana hicho na kinarekebishika.........