princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,657
- 19,274
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Ziara ya kushtukiza na SMG ofisini teh teh tehKituo hakikuvamiwa, bali kilifanyiwa ziara ya kushtukiza.
Neno "kuvamiwa" linatumika ili kuongeza uzito wa hoja.
Kituo kinavamiwaje bila hata umwagaji damu au vioo kuvunjika?
Hebu rudia kusoma ulichoandikaNawashangaa sana wanaosema eti pole itolewe kwa ile media watu wanayodai imevamiwa.........
HAKUNA CHA KUVAMIWA WALA NINI,mteja ni mfalme, sioni jipya hapo, tena wa kupewa pole ni aliyeenda pale kufanya alichokifanya maana walikuwa na maelewano binafsi sasa hayakutekelezeka (mi nampongeza, au angerudishiwa****** yake)............
we ukienda mgahawani kuagiza chakula, ukalipia, ukakaa kutegemea kiletwe, kikichelewa sana si unanyanyuka kumfuata mpishi jikoni kulikoni? akileta za kuleta na wakati ni haki yako ile , basi UKO FREE KUFANYA LOLOTE, wasituletee ujinga hapa, kwanza wahusika wanapaswa kuchukuliwa hatua, media biashara sasa yamewatokea puani................ (hakuna aliye msafi)
Ule usiku ulitaka waende na mishale?Ziara ya kushtukiza na SMG ofisini teh teh teh
Walifata nini kwenye hiyo ziara?Ule usiku ulitaka waende na mishale?
Kwa iyo mkuu wa mkoa anapagiwa pa kwenda?Walifata nini kwenye hiyo ziara?jambazi usinivunje mbavu zangu saa hizi
Jambazi jibu swali.ziara ile ilikuwa inahusu nini?Kwa iyo mkuu wa mkoa anapagiwa pa kwenda?
hio clouds ni kazi ya Mh Nape Nnauye!raisi anasema hapangiwi mana hakuchukuliwa fomu na kugombea alichukua mwenyewe ndio na je kura alijipigia mwenyewe akashinda au kura yake moja ingempitisha??? waliompitisha ndio wanaopiga kelele juu ya uchafu unaofanyika yeye kama yeye siyo kila kitu anaweza kuona tena ashukuru watu wanapiga kelele kila kona na ushahidi upo ? video ya yule mwalimu kule mbeya iliposambaa na watu kupiga kelele kila kona waziri wa elimu na waziri wa mambo ya ndani walichukua hatua je tuseme na wao walikosea? kuna walakini hapa tena mkubwa anashindana na gwajima pia hawa clouds media group ndio wajifunze kuwa bibilia ilsha sema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake leo waliyemtegmea na kuwafariji kwa kuwapigia simu kawaacha haki ipo kwa Mungu
Wametenheneza wao kama yote yasemwayo ni kweli,mkuu kuna ukweli hapo?
atoe pole walipigwa au walitembelewa na kuongea?Nafsi inamsuta,hawezi kutoa pole.
Kweli kabisa, kuna watu wanapenda mambo ya kijinga. labda kama wangepigwa ya machozi bila kosa. kutembelewa!pole ya nini? aache kwenda kuwapa pole wagonjwa hospitalini awape pole hao jamaa wazima kabisa hata hawaumwi
ukweli mtup!pole ya nini? wakati hakuna ata video moja ambayo inaonesha kuna uharibifu uliofanywa na makonda wowote, zaidi ya makonda kuingia mapokezi.ruge anasema kuna cctv camera kila kona kwenye mjengo.na kama aliweza kusimama mbele ya media yake na kusema uovu wa bwana makonda kwanini anashindwa kuweka na video inayoonesha sudi na timu yake wanapigwa??
ukweli mtup!pole ya nini? wakati hakuna ata video moja ambayo inaonesha kuna uharibifu uliofanywa na makonda wowote, zaidi ya makonda kuingia mapokezi.ruge anasema kuna cctv camera kila kona kwenye mjengo.na kama aliweza kusimama mbele ya media yake na kusema uovu wa bwana makonda kwanini anashindwa kuweka na video inayoonesha sudi na timu yake wanapigwa??