Mange kakurisha sumu na inakuathiri kidogo kidogo.......hahahaaa ukiaminiwa na mtanzania basi unakuwa ushamaliza kila kitu......Pumbavu.....!!!wacha apige kazi...! Apige kazi gani ?? Hii ya kutuibia ?? Kaanzisha vita ya dhidi ya madawa ya kulevya sawa ...kazi nzuri, kazi ya madawa kakabidhiwa Siang'i .
Kumbe kazi yake ni kupiga mkwara wanaotuhumiwa ambao ni matajiri ili apate fedha,ford range,lexus,x6 Bmw mara fanicha za bei mbaya huko Gsm na mashoom kibao akichukua magari kuhonga madem na nduguze...!! Kwa pesa gani aliyonayo kuwa hivyo vyote na wamu hii ilivyo kumu, hata shamba la matikiti hana, Ndo katumwa hiyo??? Ndo vita anayosema anapambana hiyo??
Kuna mazezeta hapa wanaendelea kusema 'wacha apige kazi'
Tunapinga sana madawa ya kulevya lkn kwa hili siwezi fanywa bwege kama wengine....!!
Sikio la kufa halisikii dawaKituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.

Mange kateka akili za watu kibao.....anaaminiwa kuliko rais mtu ambaye anachuki kabisa na makonda na amamkashifu kwa kila aina ya tusi lkn watanzania hawalioni hilo.....asa iv mange kimambi ndo msemaji mkuu akisema kitu watu bila kuchuja wala kutafakari wanaamini moja kwa moja kuwa n ukweli......una ushahidi gani kuwa gsm mall ni wauza madawa.....list ikitolewa na mkuu wa mkoa ni batiri lakini ikitolewa na mange ndo sahihi
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Huyu atampiga mtu risasi,na ataisha kama uncle Ditto mwana wa Mzuzuri,aka Ukiwaona.[emoji23][emoji23][emoji23]mtatea sana lakini ukweli uko wazi sasa hata hili la cloud mange nae katushika kichwa nani mange kwanza tunaongea fact mnakimbilia wauza unga mara mange jamani tukikosea tujikosae huyo jamaa yenu madaraka yamemzidi elimu yake
Aliyonayo ukweli tutaongea hata mkitetea ccm chama changu na ninakipenda lazima tukubali kukosolewa ili tuenselee tulipiga kura tulikipigania wengine hata hamkuwepo
Nipe source ya information zako...!!![emoji23][emoji23][emoji23]mtatea sana lakini ukweli uko wazi sasa hata hili la cloud mange nae katushika kichwa nani mange kwanza tunaongea fact mnakimbilia wauza unga mara mange jamani tukikosea tujikosae huyo jamaa yenu madaraka yamemzidi elimu yake
Aliyonayo ukweli tutaongea hata mkitetea ccm chama changu na ninakipenda lazima tukubali kukosolewa ili tuenselee tulipiga kura tulikipigania wengine hata hamkuwepo
Yeye ndo Master wa ule UJAMBAZI nafsi inamsuta hawezi kutoa pole!Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Haha, Mungu akusaidie upone hizi akili zako za kibashite, hivi unajua Clouds wamekuwa wastaarabu sana kwa kuonesha tu hicho kipande cha video? Wakionesha yote mtakuwa na uwezo wa kuhimili? You don't know what you are asking poor man!pole ya nini? wakati hakuna ata video moja ambayo inaonesha kuna uharibifu uliofanywa na makonda wowote, zaidi ya makonda kuingia mapokezi.ruge anasema kuna cctv camera kila kona kwenye mjengo.na kama aliweza kusimama mbele ya media yake na kusema uovu wa bwana makonda kwanini anashindwa kuweka na video inayoonesha sudi na timu yake wanapigwa??
Nipe source ya information zako...!!!
Hata Manji alikuwapo kabla ya Sinzonje Biashara za kina manji zimeanza toka enzi ya Mwalimu lakini leo Sinzonje anamfanya Manji aone Tanganyika chungu kwanza akipona tu Mahakamani akakabidhi Passport ya Tanzania abaki na ya UK then tumpigie kodi aliiyotakiwa kulipa kama mwekezaji si raiaClouds imeishi kabla sizonje hajaja mjini,inaweza kuishi bila mkono wa yoyete isipokuwa mashabiki wake
Umesikilza upande wa kwanza hatujasikiliza upande wa pili ambao ndo kwa mtuhumiwa (makonda) so makonda akishatoa na yeye ya kwake ndo tutajua nani mkweli nani muongo....tatzo mna chuki na makonda ndo tatzo lenu linalowasumbuaHata ruge ni source tosha aliyopngea jana ungejuw huyo mange hata ista simfollow mimi nyie ndio mtafute nani anatoa information zote zinamfikia mange
Nawaona team wasukuma mnavyokuja dar kwa magumashiMange kakurisha sumu na inakuathiri kidogo kidogo.......hahahaaa ukiaminiwa na mtanzania basi unakuwa ushamaliza kila kitu......
Sasa silaha zinabebwa na nani? Kama siyo askari!Hivi ndugu mbona unakua mgumu kuelewa? Swala la kupigwa au kutokupigwa ni secondary....sio la msingi. Swala la msingi ni mkuu wa mkoa kuvamia kitu cha media usiku akiambatana na maaskari wenye silaha za moto. Kwenye nchi yoyote inayojiheshimu swala kama hilo ni ishara ya kupindua nchi! Jambo kama hili halitakiwi kuchukuliwa kiwepesiwepesi tu eti "Rais amefunga mjadala". No!
Huyo manji unayemuona nadhani ni Mjukuu au mtoto,Manji ni business empire iliyodumu karibu karne,usifananishe hii empire na watu wanaokaa miaka mitano kwa mshahara wa milioni sijui kumi ambayo ni mapato ya manji kwa sekundeHata Manji alikuwapo kabla ya Sinzonje Biashara za kina manji zimeanza toka enzi ya Mwalimu lakini leo Sinzonje anamfanya Manji aone Tanganyika chungu kwanza akipona tu Mahakamani akakabidhi Passport ya Tanzania abaki na ya UK then tumpigie kodi aliiyotakiwa kulipa kama mwekezaji si raia
Siwezi kuendeleza mjadala na mtu ambaye anafikiri kwamba kila anayemkosoa RC ni muuza madawa. Mediocre thinkingSasa silaha zinabebwa na nani? Kama siyo askari!
Askari lazima atembee na silaha tena usiku
Mnachezewa movie na wauza unga alafu mnakubali?
Pole
1. Mlinzi aliwazuia kuingia...polisi wakamuelekezea bunduki ikapidi awaachie.Always siku izi mkuu wa mkoa anatembea na maaskari kwa ajili ya kumlinda na hawa wazee wa madawa ya kulevya so alipita pale kufatiria ishu zake na hawo maaskari coz ndo anaambatana nao kila sehem anapoenda na siyo alivamia kituo cha clouds......ww umeona tu video anaingia na askari basi kavamia....