Tatizo umekuwa follower wa muathirika wa madawa ya kulevya mange unaaminu kila kitu.Jifunze kuwa unafanya reasearch binafsi yule mange ni victim anajua mwisho wake umekaribia ndio maana anaropoka vile.Wewe ndio mwenye kucopy mimi evidence zipo na kadi zipo kwa kweli tunakipenda chama chetu kwa hili tutasimama imara wakati tunazungulq mikoani kuomba kura bashite hakuwepo wacha tuongee
Tatizo umekuwa follower wa muathirika wa madawa ya kulevya mange unaaminu kila kitu.Jifunze kuwa unafanya reasearch binafsi yule mange ni victim anajua mwisho wake umekaribia ndio maana anaropoka vile.
Huna adabu inakuwaje u damand adabu twende hivi hivi ki ninja,unaweza nipa source za infor za hao wauza unga waliompa gari makonda ili na unitajie ni wakina nani.(najua utamtaja teja Mange kimambi kwa akili zako zilivyo?)Naona tunakoseana adabu sasa kwa hiyo hata kuvamia kituo pia ni victim please rekebisha kauli yako nchi ni ya watanzania siyo ya magufuli na makonda uelewe hivyo ndio maana alituomba kura wananchi na tunamlipa mshahara kwa kodi zetu
Huna adabu inakuwaje u damand adabu twende hivi hivi ki ninja,unaweza nipa source za infor za hao wauza unga waliompa gari makonda ili na unitajie ni wakina nani.(najua utamtaja teja Mange kimambi kwa akili zako zilivyo?)
Kwahiyo airtime ya TBC walikuwa wanajua itawagharimu.Clouds wameshawafukuza(technically) sizonje na kijana wake,sijui watarudi TBC,wanatangatanga tu sasa
Wamekula sana airtime
Wataje sasa ndio maana nin mashaka na wewe unarithi chuki bila kuzielewaUlisikia. Nimetaja mange hapa mmekamata mateja anaefanya kazi ya kukamata wauza ni aliyeteuliwa na anafanya kazi kwa weledi sasa umkamatw tid useme anauza unga acheni utani nyie
Mkata umeme anaamini kwamba wale kalumanzila wa Bashite ndiyo waliomuweka madarakani.Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Pesa inaongea.Clouds wameshawafukuza(technically) sizonje na kijana wake,sijui watarudi TBC,wanatangatanga tu sasa
Wamekula sana airtime
Sidhan kama wangetengeza kama Rughe angeongea vile ni ujqmbqzi yakinifuTukio watengeneze wenyewe halafu wapewe pole!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????
Azam si wamepewa ekari kadhaa za vi wonder....watahamia huko.Clouds wameshawafukuza(technically) sizonje na kijana wake,sijui watarudi TBC,wanatangatanga tu sasa
Wamekula sana airtime
Kule kuna Tido,ameshahoji marais lukuki wenye heshima zaoAzam si wamepewa ekari kadhaa za vi wonder....watahamia huko.
Bill ya kampeni haijalipwa,sembuse nyingine?Pesa inaongea.
Bila shaka watarudi tena pale