Kwanini Rais anatudanganya?

Pasco umechelewa kucheza karata zako mapema, turufu ulizibania, wenzako wakakupiku, lakini usife moyo, kwani " there is always one more chance! so keep it up"
The Boss is always right.
Pasco
The Boss is always right,may be a popular corporate mantra. Lakini"Boss ndio mtu anaezunguzwa,kajadiliwa na kukosolewa kuliko mtu mwengine yeyote kwenye taasisi.Kwa hivyo kwa lugha nyengine "Boss is not always right"
 
Thanks kwa kulielewa hili, watu msituone hivi mkadhania tumesomea elimu zetu kwenye madarasa ya chini tuu, tumesomea hadi madarasa ya juu ghorofani hivyo elimu ya Juu pia tunayo.
Pasco
tafadhali nina shida na wewe muhimu.nahisi kama utanisaidia.
 
Kwani huyo rais yeye ni mungu mpaka asiambiwe anapokosea??? Mbona leo unaandika ujinga ujinga??
 
Huyu si wa kumuamini!...watu washamsoma hataa ccm wenzake washamjua.si wa kumtegemea
 
Utakufa na kihoro nakushauri Fanya Kazi zingine
 
Siku zote nasema Mzee hafahamu bado udelicate, ukubwa, ukuu, na utakatifu wa kaxu aliyonayo! Leo anasema hili, kesho anasema lingine. Hajui yeye ni authority hata katika academics? Assumption ni.kwamba anachozungumza rais kimefanyiwa utafiti kabla ya kukitoa. Na ndio maana tumempa priviledge kubwa sana ya kiishi kifalme. Ni ili atufanyie mambo kwa viwango! Sasa huyu anaongea tu kama sisi wa huku vijiweni! Inaonekana hata wale wanaomzunguka na kumshauri wamedhindwa kumaintain utakatifu na ukuu wa presidency! Rais skikosea, mfano kuonesha ubaguxi lazima wawepo watu wa kumkemea vikali!
 
Hii itakuwa ni kali ya mwaka! ,Pasco wa JF naye ajiunga rasmi na kundi la buku 7! .
Pasco
Sijasema umejiunga..nimesema "itakua"!! Kwa hii comment yako ya leo ni dalili kwamba wenda..au unajiunga au ushajiunga na lile kundi la buku saba!!!
 
Sijasema umejiunga..nimesema "itakua"!! Kwa hii comment yako ya leo ni dalili kwamba wenda..au unajiunga au ushajiunga na lile kundi la buku saba!!!
Mkuu Upepo wa Senti, Pasco wa JF sio mwanachama wa chama chochote cha siasa na hatumikii chama chochote, wala kumtumikia mwanasiasa yoyote, bali ni mtumishi wa watu.

Pasco
 
Mkuu Upepo wa Senti, Pasco wa JF sio mwanachama wa chama chochote cha siasa na hatumikii chama chochote, wala kumtumikia mwanasiasa yoyote, bali ni mtumishi wa watu.

Pasco
These are just mere words! show us what you are saying is true!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…