Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Ndugu wanajamvi, najiuliza kila siku sababu zilizomfanya Mwalimu wangu wa uchumi kuhama CCM. Nilimfahamu Professor alivyokuwa mkarimu, aliyekuwa karibu na wananchi, aliyekuwa na nguvu ya kupangua,kujibu na kujenga hoja. Mh Malima hakuogopa kulaumiwa kwa lile aliloamini lina tija na always alijivunia dini na asili yake.
ni huyu jk ndiye aliyempelekea mwinyi ya taarifa ya tume ya uchunguzi ambayo ndio ilimpelekea kujiuzuru uwaziri na kukimbilia upinzani. lakini ndiyo hivyo tena kwani mtu akiwa anatafuta kazi anakuwa tofauti baada ya kuipata kazi kwani huwezi kuamini kuwa jk yule ndiye huyu leo hii ambaye waovu siyo anawalea tu bali imekuwa ni kama LAST NAME yakeNdugu wanajamvi, najiuliza kila siku sababu zilizomfanya Mwalimu wangu wa uchumi kuhama CCM. Nilimfahamu Professor alivyokuwa mkarimu, aliyekuwa karibu na wananchi, aliyekuwa na nguvu ya kupangua,kujibu na kujenga hoja. Mh Malima hakuogopa kulaumiwa kwa lile aliloamini lina tija na always alijivunia dini na asili yake.
Ahsante kwa kupoteza bytesMuulize mwanae ambaye ni ?Naibu Waziri katika Baraza la J.K.
Sikubaliani nawe, Uchumi wa Tz uliporomoka kipindi cha vita, Msuya alitajirika sana akiwa waziri wa fedha. Kipindi cha Mwinyi, Professor aliharibu kitu gani?Fitinamwiko,
..Prof.Malima ndiyo alikuwa waziri wa mwisho wa fedha wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.
..sasa nadhani wote mnakumbuka jinsi serikali ilivyokuwa na hali mbaya kifedha wakati Alhaj Mwinyi alipokabidhiwa madaraka.
..baada ya hapo akahamishiwa wizara mbalimbali, halafu Alhaj Mwinyi akamrudisha wizara ya fedha.
..Prof.Malima akaharibu kwa mara ya pili. Wafadhili wakatununia, na kutishia kusitisha misaada yao.
NB:
..Aliyemchunguza Prof.Malima alikuwa ni Mzee Mohamed Aboud, aliyekuwa accountant and auditor general wakati wa Mwalimu Nyerere, na Alhaji Mwinyi.
Wahusika wakuu wa kashfa ya Richmond, ndio wachangiaji wakuu wa makanisa, lakini hatulioni hilo. You need to read and understant principle of fairnessAlitimiza malengo yake ya kuiba hela ze2 na kuzificha ughaibuni. Zilipopigwa tanji akapata presha na kufa hukohuko. Wadini wamebaki kumsifia eti alileta maendeleo kwenye elimu kwa kuintroduce mfumo wa namba kwa wanafunzi,eti kabla ya hapo watu wa dini hiyo walikuwa wanaonewa. Kama ndo hvyo mbona bado wanalalamikia baraza la mititihani? Lakini pia hawa ni watu wa ajabu kabisa kwa kumtetea fisadi kisa anatetea dini yao. How comes a thief 2 be a hero? Pathetic
it sounds like conspiracy theoryKwasababu RAIS MSTAAFU MWINYI alimuambia anamtayarisha KIKWETE kuwa RAIS na HAKUFURAHIA...
Pamoja na WATOTO wake wote kusomeshwa nje ya NCHI na pesa za SERIKALI...
??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????Alikuwa hana nafasi kule ya kupenyeza hoja za udini wake kwa wakati ule. Kwa sasa angefurahia sana maisha akiwa CCM
unauliza the wrong question.
The right question should be: Je Kighoma Malima aliuliwa? Na sababu ni zipi?
Fitinamwiko,Sikubaliani nawe, Uchumi wa Tz uliporomoka kipindi cha vita, Msuya alitajirika sana akiwa waziri wa fedha. Kipindi cha Mwinyi, Professor aliharibu kitu gani?
Edwin Mtei aliondoka kipindi cha Azimio la Arusha, Msuya alikuwa waziri wa fedha wa kwanza kugubikwa na kashfa za ufisadi. Utawala wa mzee ruksa, ulifungulia milango mingi ya biashara na misamaa mingi ya kodi, Professor Malima was in the middle of mess.Fitinamwiko,
..kama uchumi uliharibika wakati wa vita[1978/79] ni nini kilimzuia Prof.Malima kuurekebisha wakati alipokuwa waziri kipindi cha mwisho cha utawala wa Mwalimu Nyerere?
..mbona waziri aliyepokea wizara toka kwa Prof.Malima na kuiongoza ktk kipindi cha awamu ya kwanza ya utawala wa Raisi Alhaj Mwinyi aliweza kurekebisha mambo na kuleta nafuu kwa wananchi??
..Prof.Malima aliharibu tena miaka ya mwisho ya utawala wa Alhaji Mwinyi kwa kuzembea ktk kukusanya kodi. hali hiyo ilisababisha tuwe na mahusiano mabaya na nchi wafadhili.
..Raisi Mwinyi aliunda tume ya uchunguzi iliyoongozwa na Mzee Mohamed Aboud na tume hiyo ilipendekeza Prof.Malima aondolewe wizara ya fedha.
NB:
..Msuya hakuwa waziri wa fedha wakati wa vita vya Kagera. kwa uelewa wangu, waziri wa fedha kipindi hicho alikuwa ni Edwin Mtei.
Fitinamwiko,
..kama uchumi uliharibika wakati wa vita[1978/79] ni nini kilimzuia Prof.Malima kuurekebisha wakati alipokuwa waziri kipindi cha mwisho cha utawala wa Mwalimu Nyerere?
..mbona waziri aliyepokea wizara toka kwa Prof.Malima na kuiongoza ktk kipindi cha awamu ya kwanza ya utawala wa Raisi Alhaj Mwinyi aliweza kurekebisha mambo na kuleta nafuu kwa wananchi??
..Prof.Malima aliharibu tena miaka ya mwisho ya utawala wa Alhaji Mwinyi kwa kuzembea ktk kukusanya kodi. hali hiyo ilisababisha tuwe na mahusiano mabaya na nchi wafadhili.
..Raisi Mwinyi aliunda tume ya uchunguzi iliyoongozwa na Mzee Mohamed Aboud na tume hiyo ilipendekeza Prof.Malima aondolewe wizara ya fedha.
NB:
..Msuya hakuwa waziri wa fedha wakati wa vita vya Kagera. kwa uelewa wangu, waziri wa fedha kipindi hicho alikuwa ni Edwin Mtei.
Fitinamwiko,Edwin Mtei aliondoka kipindi cha Azimio la Arusha, Msuya alikuwa waziri wa fedha wa kwanza kugubikwa na kashfa za ufisadi. Utawala wa mzee ruksa, ulifungulia milango mingi ya biashara na misamaa mingi ya kodi, Professor Malima was in the middle of mess.
Muulize mwanae ambaye ni ?Naibu Waziri katika Baraza la J.K.