nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
pamoja na hayo watueleze kwanini sheria inambana Baregu tu ambae wala sikiongozi katika ngazi za kugombea za chama , mbona Dr Mvungi anaendelea na kazi hadi leo. ?Wakuu naona tatizo si waziri wala Uongozi wa juu wa UDSM tatizo hapa ni sheria zetu na umma na katiba yetu haziendani na mabadiliko halisi ya nchi yetu kisiasa,kiuchumi na hata kijamii.
Sheria inasema na inakataza mtumishi wa umma kushiriki katika siasa, hii tungeiangalia upya kama Proffessor Baregu mwenyewe alivyoeleza nia yake ya kwenda mahakamani kupinga sheria hii.na ndio maana kasema agombei ajira ataka kwenda mahakamani kupinga sheria hiyo inyokinzana na katiba yetu kwa maslahi ya watanzania wote kwa sasa na hata hapo baadaye.
labda tutafute huo waraka tajwa na tuusome hatua kwa hatua then tuoe misingi anayosimamia HAWA.