Kwanini Polisi hawafugi ndevu?

Kwanini Polisi hawafugi ndevu?

Iko hivi; ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kuna idara mbali mbali.
Mfano polisi wana CID ambapo askari akiwa kitengo hiki anaruhusiwa kufuga ndevu, rasta na mitindo mingine ya nywele. Kwa sababu hawakai kwenye paredi maalumu wakati wa viongozi au maafisa wakuu wakikagua na hawavai uniform za polisi.
Lakini kwa askari ya GD ( General duty) haruhusiwi kufuga ndevu kwa sababu anavaa uniform mara zote.

Jeshini ( JWTZ). Vitengo vya QRF/Special forces / Commando na MI ( Military intelligence) kwa sasa wanaruhusiwa kufuga ndevu ili kuongeza social camouflage wakati wa majukumu.

Usije na maoni ya namna hiyo mkuu, mambo yako tofauti kabisa.
 
Oy hope mko fiti.

Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu.

Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la kujifunza na kutanua maarifa. Peace

IMG_20251221_185728.jpg
IMG_20251221_190223.jpg
IMG_20251221_190243.jpg
IMG_20251221_190318.jpg
IMG_20251221_185756.jpg
IMG_20251221_185859.jpg
 
Mi imeinishi iyo sheria tu askari kutokuwa na ndevu means ni utii na udogo! Unaweza kuwa unakula mtori mara gafla ukaitwa na mkuu wako kumbe mtori umebaki kwenye ndevu uchafu
 
Oy hope mko fiti.

Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu.

Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la kujifunza na kutanua maarifa. Peace
Watakuwa wamajazana makafir
 
Back
Top Bottom