Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa na marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Unatumia jina halisi na lipo verify.
Stile za kukamatia teuzi hizo.
Tutakufikiria
 
Awamu ya uongozi ni miaka 5 au 10. Samia alikua anamalizia awamu ya 5 kama mwenza wa Magufuri. Sasa utaratibu unaanza upya. Mbona wewe hulizungumzii hili.
 
Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
 
Nenda tena kamsikilize vizuri, wakati huu ukimsikiliza utambue Kuna viapo alivyoapa (siyo kiapo, VIAPO) ambavyo hapaswi kuvivunja.

Ukimsikiliza kwa umakini utang'amua sababu ambayo hajaitamka na ni Genuine.
 
Tuseme polepole kakosea Ila je kwanini Samia hakufata taratibu na katiba ya Ccm .

Mfano kupigiwa kura , kutafuta wadhamini , kwenda kuchukua Fomu ya urais n.k.?

Pole pole yawezekana hayuko sahihi Ila Ccm ndo hawako sahihi Sana .
 
Polepole ni mzalendo na mpigania haki uchwara. Anafaa kupuuzwa. Ameishi kwenye ukandamizaji wa haki na demokrasia na yeye akiwa sehemu yake kwa miaka 10, then imebaki miezi miwili kufanya uchaguzi anajifanya anachukizwa na umunyaji wa haki na demokrasia. Hana uzalendo wowote na ni mbaguzi wa jinsi. Tatizo lake ni samia; siyo kukerwa na ukosefunwa haki na demokrasia.
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Hoja ya Polepole ni Kina Kirefu kwa upeo wako. Tafadhali zingatia Hilo!
 
Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Sawa, sasa Utaratibu kwa mujibu wa katiba ya nchi na ya ccm wa kuomba Ridhaa ndio ule uliofanyika kwenye mkutano mkuu? No
Umesema anaomba kama rais aliemadarakani, malizia anaemaliza muda wake' swali? anamaliza awamu ya 6 au 5. Jibu Ni awamu ya 5 Alioanza na mwenza wake; hivyo utaratibu wa kwenda awamu ya 6 ndio mchakato uanze.
Sasa utaratibu ufuatwe, tusiendeshwe na wahuni
 
Awamu ya uongozi ni miaka 5 au 10. Samia alikua anamalizia awamu ya 5 kama mwenza wa Magufuri. Sasa utaratibu unaanza upya. Mbona wewe hulizungumzii hili.
Kwani hyo miaka mitano ya mwisho ameimaliza akitumika kama nani?
Ebu fikiria makamu wa raisi wa wakati huo mh. SSH angejiengua mwaka 2020 halafu agombee na apite(maanake amuangushe magufuli) je 2025 asingeruhusiwa kugombea urais?
 
Back
Top Bottom