Kwanini picha za Adam na Eva zinaonesha walikuwa na vitovu?

Unashangaa kitovu?mbona Yesu yupo UK anakula kuku kwa mrija jombaa?na alikuja kutalii Kilimanjaro wakataka kumpaka mafuta akawachapa vibao na kuwambia yeye si Yesu bali alikua steringi wa ile muvi ya Yesu?
Ayo ni maneno ya kizushi hakuna picha wala movie inayoonesha sura moja tu.Kwahio hata wewe unaweza igiza na hakuna atakae kuona wewe kma Yesu.
 
me siwezi kubali unishagure ha ahaha mtafute mwajuma
Huu ni muda muafaka wa serikali kupitia waziri mwenye dhamana kuandaa festivals ili kutupa mafunzo ya matumizi sahihi ya viungo vya starehe! Maana wengi wanaingia kwenye commitments wakiwa na zero experience kwa kisingizio cha virginity bila kujua kwamba virginity ni ukosefu wa opportunity!
 
Swali gumu sana hilli,inakuwaje wawe na vitovu wakati hawakuzaliwa.
Kama ni mchoro basi waliochora wamevurunda.!
Na kama wamevurunda kwenye mchoro, je tutawaamini vipi kwenye hayo mambo mengine?
 
Huu ni muda muafaka wa serikali kupitia waziri mwenye dhamana kuandaa festivals ili kutupa mafunzo ya matumizi sahihi ya viungo vya starehe! Maana wengi wanaingia kwenye commitments wakiwa na zero experience kwa kisingizio cha virginity bila kujua kwamba virginity ni ukosefu wa opportunity!
nitafanyia kazi ushauri wako
 
Your so critical nimekupenda bure aliye na kitovu amewahi kuwa mimba
Watu wangekuwa waelewa kama wewe maisha yangekuwa matamu sana.

Kulingana na maandiko, Adam na Eva hawakupitia hatua ya mimba, ina maana aliyechora hizi picha hakujua chanzo cha kitovu ni nini?

Halafu mbona viongozi wa dini hawajatoa kauli ya kufanya marekebisho kwenye hizo picha?
 
hakun kizazi kilichobaki wal kumbkumb y hao wa2 apa dunian..
 
Watu wangekuwa waelewa kama wewe maisha yangekuwa matamu sana.

Kulingana na maandiko, Adam na Eva hawakupitia hatua ya mimba, ina maana aliyechora hizi picha hakujua chanzo cha kitovu ni nini?

Halafu mbona viongozi wa dini hawajatoa kauli ya kufanya marekebisho kwenye hizo picha?
Hawajashtuka mkuu.
 
Unashangaa kitovu?mbona Yesu yupo UK anakula kuku kwa mrija jombaa?na alikuja kutalii Kilimanjaro wakataka kumpaka mafuta akawachapa vibao na kuwambia yeye si Yesu bali alikua steringi wa ile muvi ya Yesu?
Lini hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom