Kwanini Padre hatoi sadaka kanisani?

Hapo umetoa mawazo yako tu hujatoa jibu kamili kwann hatoi sadaka!

Kulala kifudifudi agalegale hamkumuondolei kutoa sadaka

Kuacha kula kwenda kuhudumia/kuombea wagonjwa ni wajibu wake sio ombi.

Kusema padre hana kazi ya kumuingizia kipato ni uongo
Ma father ni wafugaji wazuri tu Kwa Sasa Wanalima mpunga na wanapata Wana biashara zao hasa za pharmacy nk
 
Hiyo sijui kulia msibani, kusalisha misha ni kazi yake ni lazima afanye na analipwa kupitia sadaka za waumini. Sijaona kitu cha ajabu kusifia hapo.
 
Kama ni marafiki na wahisani kwanini wanajenga kwa kificho. Sasa kama .tu anajenga nyumba anashindwaje kutoa sadaka
Sio kosa kumjengea ndugu wazazi nyumba wao ni sehemu ya familia,yeye mwenyewe ni sadaka.
Hakuna kiongozi yeyeto wa dini zote hata nje ya Ukristo atoae sadaka.
Michango wanaweza toa
 
Mapdre katoliki ni mafarisayo wanahubiri kitu wasichotenda

Wanahubiri watu watoe sadaka za fedha wakati wao hawatotoi

Makanisa mengine yote wachungaji huhubiri kutoa fedha sadaka na wao hutoa pamoja na wao kujitoa kuwa watumishi wa Mungu
 
Back
Top Bottom