Kwanini Padre hatoi sadaka kanisani?

Kwanini Padre hatoi sadaka kanisani?

Kwa nini Rais halipi kodi?
Hilo ndio jibu lake
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]umenifurahisha sana
 
Mleta mada wew Ni padri bila Shaka
Pia hongera kwa uwasilishwaji mzuri uliotukukaa

Ila SAS umeniacha na maswal na mawazo sna Kama utetezi wako ndio huo Basi nimesema kuwa hoja yako Ni dhaifu sana kwa jinsi ulivyo watetea mapadri wako

Kuna padri namfahamu anamiliki mpka guest ,manguruwe wengi na mifugo mingi na mashmba ya miti huko mbulu je huyu nae hapaswi kutoa sadaka yoyote


Pili mbona kkkt wachungaji wanatoa sadaka Wana mpk bahasha zao kbsa


Tatu unasema iwapo mapdri watatoa sadak itasababisha wizi wa sadaka kanisani

Hi hoja yako ni dhaifu mno ,Kama mapadri watatoa sadaka za wizi jee Hawa wahumini una uhakikaa gani kuwa sadaka wanazotoa siyo za wizi wala za dhuluma


Ni vyema mkatoa sadaka zote kwa pamoja asnte sna

Nalilikubali sana baraza kuu la maskofu katoliki tec
 
Sasa mkuu mambo ya walawi yanaingiaje kwa mapadri wetu


Au na sisi ni walawi
Itakuwa hujasoma bandiko la mleta mada maana yeye ndiyo kawataja na mimi ndiyo nikamjibu kuwa hao walawi nao waliagizwa pia watoe zaka na sadaka kutoka kwa vile walivyoletewa na waisraeli wote

Msome hapa alivyosema

"Kwani ukisoma vema Biblia, utakutana na kisa cha makabila 12 ya Waisraeli, ambayo makabila hayo yote yalipewa urithi katika sehemu yake ila kasoro kabila moja tu la Walawi, maana urithi wao ulikuwa kwa Bwana pekee na walipewa kibali cha kutumia sadaka zote zilizotolewa na Waisraeli wa wakati ule Hekaluni. (𝐌𝐰𝐚𝐧𝐳𝐨 14:17-20).

Biblia inatuambia kabila hilo la Walawi ndilo lililowekwa wakfu kwa lengo la kutoa Makuhani kwa kazi ya Mungu tu, utaratibu ambao unatumika hadi sasa kwa Mapadre wetu. (𝐖𝐚𝐥𝐚𝐰𝐢 22:1-33)."
 
Watu wanawachukuliaga mapadre kama watu Fulani speshoo wenye utimilifu mnoo,,kumbe ni Watenda maovu kama tunayotenda Sisi wamejificha kwenye kivuli cha dini,,,elimu na usiri mkubwa huku wakiendelea kula kiulaini kwa kisingizio cha kutangaza injili!!
 
Back
Top Bottom