kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,461
- 5,860
Tatizi la futuhi hua lazima kila scene wapigane yaani bila kupigana pigana wanahisi kama hawajachekesha hivi.
Tatizi la futuhi hua lazima kila scene wapigane yaani bila kupigana pigana wanahisi kama hawajachekesha hivi.
jamaa wanazingua wale wanafosi kuchekesha ni ngumu sana kupata wazamini paleFutuhi ni maigizo haistahili kuitwa kichekesho
Sent from my iPhone using JamiiForums
MjichekeshiIvi MC pili pili anachekashaga au anajichekesha mwenyewe???
Izoo comedy zake nikiangalia badala nicheke anacheke yeye Sasa unajiuliza yeye Ni mchekeshaji au mchekeshwaji.
Kwa Tanzania, wachekeshaji walikuwa wale jamaa wa Jambo na Vijambo. Walikuwa na full package yaani hawakulazimishi kucheka ila utacheka, na pia wanatoa na uelimishaji (ujumbe)Halafu vichekesho vyake hua vime-base kwny mambo ya shule tu especially vituko vya mambo ya shule ya msingi&secondary tu.
Saivi nao hawasikiki tena.Kwa Tanzania, wachekeshaji walikuwa wale jamaa wa Jambo na Vijambo. Walikuwa na full package yaani hawakulazimishi kucheka ila utacheka, na pia watoa na uelimishaji (ujumbe)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wamekumbwa na nini kwasasa ila naona tu katika kipindi hiki cha janga la virus vya corona wamerudi kwaajili ya kutoa elimu juu ya janga hili. Wapo Azam kwenye channel ya Sinema zetu katika kipindi cha Al Kasus lakini wamejikita tu kwenye uelimishaji wa virus vya corona
Wapo wasafi tv
Nimeona tangazo lao soon wataanza kuonekana wasafi tvSijui wamekumbwa na nini kwasasa ila naona tu katika kipindi hiki cha janga la virus vya corona wamerudi kwaajili ya kutoa elimu juu ya janga hili. Wapo Azam kwenye channel ya Sinema zetu katika kipindi cha Al Kasus lakini wamejikita tu kwenye uelimishaji wa virus vya corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vichekesho, full stop!Futuhi ni maigizo haistahili kuitwa kichekesho
Sent from my iPhone using JamiiForums
hii kucheka na kuchekeshwa naona ni swala mtambuka.Kuna watu hata Idris huwa anawachekesha...
Mpoki huwa anatukanatukana watu wanacheka.
Hii ilikuwa kiboko, na by that time nyumba zenye TV mtaani ni za kuhesabu, basi mtarundikana kwenye sebule ya watu kuangalia tausi, tumetoka mbaliUna ikumbuka Tausi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa wakina Tina, Sitti, Kalumanzira, Mjuba, Jesca na wengineo. Dah kitambo hiko aiseeHii ilikuwa kiboko, na by that time nyumba zenye TV mtaani ni za kuhesabu, basi mtarundikana kwenye sebule ya watu kuangalia tausi, tumetoka mbali
Sent using Jamii Forums mobile app