Acha kuruka kuruka wewe... jibu hayo maswali!Mada sio kuhusu Tanganyika mada ni kuhusu znz.
Muscut wanawaona Kama nyani lakini Ulaya na marekani kama masokwe na ndio maana huwa wanarushiwa ndizi na wengine kuwaita lugha za kibaguzi Kama niga negro n.k
Hili la Ulaya na america wanalofanyiwa watu weusi kwako ni sasa kisa ni magalatia wenzako!! Au umesahau miaka ya 80 mabwana zenu wazungu walivyo mpigisha Dada yenu paipu ya mbwa!!???
Wazungu nyinyi ndugu zenu wadamu hawawabaguwi si unaona hapa!????
https://www.google.com/search?q=fra...mplies-jewish-singer-will-be-baked%2F;598;273
Kumbuka hao maweita kwa mwarabu mwisho Wa siku wanalipwa mshahara wa kula na familia yao
Yale maswali ambayo hata wewe mwenyewe umeshindwa kuyajibu au kuna mengine?So far wameshindwa kujibu maswali
Wanatapatapa
Hakuna ubaya kabisa kwa kila mwanadamu kujinasibu kule kwenye asili yake hata sisi pia tutajinasibisha ka family ya baba yetu Adam na mama yetu bi Hawa huo ni ukweli usiopingika kabisa.Wazanzibar kujiita wa Oman hakuna cha ajabu na wala hakuna kitakacho wageuza wao kuwa vingine.Sijui kama wengi wenu hapa mnamfahamu mtu mmoja kiongozi wa watu weusi kule marekani kwa jina Malcom X huyu bwana pamoja na viongozi wengine kabla yake kama vile Marcus Garvey ambaye alijulikana kama father of black concsciousness walipigania sana kubadilisha mind set ya watu weusi kujitambua kuwa wao ni watu kutoka Africa na pia nilimsahau Dr W.B.Dbois naye alijitahidi sana kutoa hilo somo kama Malcom X na Garvey.Kinachotakiwa hapa ni ku re brain wash waafrika wote wanaodhani wao asili yao si hapa Afrika,kule Zenji wako wengi sana wengine hudhani wao ni persian wenye asili ya Iran lazima wafundishwe kwamba blood ndogo iliyodondokea ndani ya miili yao inawafanya wawe waafrika kwa asilimia mia moja na wala sio kinyume cha hivyo.Mtu kuwa mwarabu sio kitu kikubwa sana kwani sisi wote ni binadamu tuna damu nyekundu na mioyo inayofanana na hisia moja hakuna kitu kitakachomfanya binadamu mwingine kuwa au kujiona bora sana zaidi ya mwingine.Mtu kujinasibu na uarabu wa Oman sio kitu cha kushtua sana infact ni kitu ambacho mimi nakiona ni kitendo cha aibu sana .Mimi siwaoni hao waarabu nini kikubwa wanaweza kutuonyesha huku kwetu,ni aibu tupu eti leo na wao wamejiingiza ktk vita ya mmarekani kuwapiga waislam wenzao ISIS eti ni terrorists wamefikia mpaka kuchangia mapesa mengi ya kutisha ili waislam wenzao wauwawe na nchi za magharibi.Kwa wazanzibar kujinasibu kwa hawa watu kwa mtazamo wangu mimi nafikiri ka wanashindwa kuuona unafiki wa waarabu ambao umeandikwa ndani ya Qoraan na kujinasibu nao ni kitendo kisichokuwa na maana na ni aibu tupu kuwa au kujiita muOman.Hela yote na utajiri waliokuwa nao ni afadhali mzungu mmarekani au muingereza aje kula hizo wealth kuliko kuja wekeza ktk kisiwa walichoanzia kuupata huo utajiri(zanzibar&Pemba islands),wamesahau mpaka damu yao waliyoiacha huku,sasa utawezaje kujinasibu na watu namna hiyo?Hiyo mind set ya watu namna hiyo kujinasibu ninaifahamu sana M/Mpamba masalaam.
Huoni ungekuwa umefanya jambo la maana endapo ungejibu maswali yangu? Kwa upande mwingine, hudhani huo ushauri ulionipa ungeutekeleza wewe mwenyewe ili ujionee ni namna gani huku bara tulivyo na umaskini wa kutisha? Narudia, ni ujinga Tanzania hii watu wa upande mmoja kujiona wapo juu wakati si lolote si chochote na kuwaona watu wa upande mwingine ndio hoe hae wasio na mbele wala nyuma wakati karibu wote hali zao zinafanana!! Watu wa bara (Tanganyika excluding mikoa ya pwani) ni hodari sana kuwasemanga watu wa Pwani na Zanzibar kwamba wanakesha vibarazani kunywa kahawa huku wao wakisahau kwamba wanakesha kwenye vilabu vya komoni, mbege, wanzuki, ulanzi na n.k... what's the difference!? Nafahamu, wengi wenu mnasumbuliwa na chuki, tena wengine chuki za kidini... nothing else! Kuna wengine wanakosa ujasiri wa kuelezea chuki zao za kidini wazi wazi na badala yake wanaamua kutumia mgongo wa Zanzibar au watu wa Pwani!
Eti oman haeawexi jufinance major projects in znz kwa sababu serikali ya muungano inawazuia.
Mbona wavhina wamefinance airport mpya ya znz?
Sielewi hii akili ya utumwa itaondoka lini
Nimecheki bajeti ya znz 2014
Oman wanachangia ZeRo kwenye bajeti yao
70% ya bajeti ya Znz inatoka EU na USA
NIanze kwa kusema kwamba una safari ndefu tena ndefu kweli kweli kufahamu tabia za wanajamvi wa JF! Kwahiyo kwavile mtu hajasema popote kuhusu suala la dini ndo basi tena hakulenga udini? Learn how to read between the lines!umechemka sana ndugu! mimi huwa nakerwa sana na watu kama wewe ambao mnapenda kuhusianisha kila jambo na udini, hata kama mtu haja mention suala lolote la udini bado watu kama wewe mtasema hayo yanasemwa kwa sababu ya dini ya mtu!! Aibuu! Ni wapi huyo jamaa amezungumzia udini? Kwani mtu au jamii fulani haiwezi kusemwa, kukosolewa au kudharauliwa sababu ya tabia au utamaduni wake!!? Ni lazima kila jambo lihusiane na udini!? Acha uvivu wa kujenga na kutetea hoja! Akisemwa au kukosolewa kikwete utasikia ni kwa sababu ya dini yake! Lakini akisemwa au kukosolewa mtu wa imani nyingine tena na mtu wa imani sawa na yake ndio kwanza na nyie mnashiriki kuongeza hoja na vihoja lakini watu hawasemi udini wala nini! Naamini huyu mbunge wa nkasi Ally kessy angekuwa anaitwa peter au john na kwa jinsi anavopenda kuwananga wazanzibari mngesema ana chuki za kidini lakini kwa kuwa mnaingia nyumba moja ya ibada mnachukulia kama ilivo suala la udini mmeweka kando mnamwita chizi! Pimeni hoja za mtu kwa umakini kama zimejengwa juu ya udini au uhalisia tofauti!!
TZINVESTOR punguza unazi ndugu... kwanini unauliza maswali ya kiserikali ambayo unafahamu hata wewe huna majibu yake? What else if someone tells you kwamba wana-fund 9 projects worth $ 750 million!! Je, una namna ya ku-verify kile utakachoambiwa? Ndio maana niksema maswli yako ni kutengeneza ligi isiyo na maana coz' hata wewe huna majibu yake... na ndio maana nilipokuuliza similar questions kwa upande wa Tanganyika, umekosa majibu na ukakimbilia kujificha kwenye kichaka kwamba tunajadili Zanzibar!Oman wana fund miradi mingapi mikubwa ZnZ? Na inaworth kiasi gani in usd?
TZINVESTOR punguza unazi ndugu... kwanini unauliza maswali ya kiserikali ambayo unafahamu hata wewe huna majibu yake? What else if someone tells you kwamba wana-fund 9 projects worth $ 750 million!! Je, una namna ya ku-verify kile utakachoambiwa? Ndio maana niksema maswli yako ni kutengeneza ligi isiyo na maana coz' hata wewe huna majibu yake... na ndio maana nilipokuuliza similar questions kwa upande wa Tanganyika, umekosa majibu na ukakimbilia kujificha kwenye kichaka kwamba tunajadili Zanzibar!