bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,852
Waznz ni watumwa. Watabakj kuwa watumwa na wanalilia utumwa. Utunwa wa akli,utumwa wa dini, utumwa wa ujinga.
Pamoja na watumwa hawa,Tanganyika haiwezi kuwaachia kwaajiii ya stability. Pia ua!!
eebwana niliwahi kutembelea zenji ------- wengi kweli
INATEGEMEA!!! Kama unaongea na Mswahili mwenye nywele za kipilipili kisha akajinasibisha na Oman basi huyo atakuwa mwehu lakini kama utaongea na Watanzania Waarabu basi hao wakijanasibisha na Oman hawapo mbali na ukweli kwavile ndio ukweli ulivyo! Kutokana na ukweli huo, ndio maana hata ukienda Oman, huwezi kumaliza siku bila ya kukutana na Mwarabu anayeongea Kiswahili.... hawa ni wale Waarabu Wazanzibari au Wanzabari Waarabu... waite utakavyo!
Kuna wakati kule Oman kulikuw na mjadala hususani kwenye mitandao ya kijamii! Mada ilikuwa ni kupotea kwa lugha ya Kiswahili nchini Oman hususani kwa vijana! Wengi walikuwa wanawalaumu wazazi kwamba wameacha kutumia Kiswahili kwahiyo si rahisi watoto wa siku hizi kufahamu Kiswahili! Hivyo basi, Waarabu wa Zanzibar wana mafungamano makubwa na Oman.... na majority wana ndugu wenye undugu ulio active pande zote mbili
Kwamba kujinasibisha kwao na Oman basi kungekuwa na investment lukuki kutoka Oman hiyo si hoja ya msingi! Uhusiano ulipo kati yao ni uhusiano wa kindugu... uhusiano wa damu na sio uhusiano wa kibishara!
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.
N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?
Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?
Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!
Ni znz ndiko nilikoona mwanaume anamtongoza mwanaume mwenzie. the way mwanaume anavyomtongoza mwanamke. Nilishangaa sana siku hiyo.
Wewe sio Mzanzibar. Wazenji hawako kama weweMimi kiliochangu nakielekeza kwa waasisi wa kutoka ZNZ waliokubali kuvichukuwa visiwa vya Zanzibar na kuviunganisha na Tanganyika yenye MANYANG'AU (kauli ya raisi wa Kenya) ambayo yamelala FOFOFO na yakiamka ni KUPIGA ULABU huku wakiwaacha wazungu wakiondoka na maliasili zao huku wao wakileta UNYANG'AU WAO katika mitandao ya jamii.
Mtoa mada badala ya kufikiria namna ya kuwaamsha MANYANG'AU wenzake ili waweze kutafuta namna ya kuzuia wizi Wa raslimali zao yeye badala yake analeta fitna!!!
Sasa mtoa mada nibora angalitumia huu muda aliotumia kuandika huu utumbo hapa kwa kufanya mzunguko wa vijiji vya ZNZ na kuvifananisha na vijiji vya Tanganyika ambavyo vingi Kama si vyote vina hali duni sana nyumba zao ni vibanda amvavyo huu ni mchanganyiko wa dongo na nyasi na milango ya matembe huku nchi ikiwa Ina raslimali za kila aina.
na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///
Wewe sio Mzanzibar. Wazenji hawako km ww
Sultans aliifanya Zanzibar kuwa Makao yake Makuu..
Mzito Kabwela umesema kweli,mimi ni mnyamwezi wa Tabora na niko Zanzibar huu mwaka wa kumi na sijaona ubaguzi wa aina yeyote dhidi yangu.Ila nilichoona ni maingiliano makubwa yaliyopo baina ya raia wa Oman na Zanzibar.Sio kweli. Hii mada umeileta kwa malengo yako binafsi na lazima udini unakusumbua. Nipo Zanzibar hapa wiki ya tatu sasa. (Njoo hapa Golf hotel karibu na Gymkhana club/bar jirani na ofisi za UWT utanikuta)
Wazanzibari hawana mawazo hayo. Tena wanajiona ni Watanzania hasa. Nimeenda maskani ya CUF kidoooogo wao wanausifia uzanzibari wao ingawa nao wanajiona ni watanzania. Pale maskani ya kisonge penyewe ni utanzania umeshamiri. Wazanzibar wenyewe kwa wenyewe wanaishi kwa upendo sana kama Watanzania. Hawajatubagua sisi Wanyakyusa wala wale wasukuma. Sote ni watanzania. Na hata ukiwasoma ndani ya mioyo na sura zao ni WATANZANIA. Hakuna u-oman wala uarabu.
Isijekuwa ulikuja kutafuta bwana wa kukuoa hasa baada ya kusikia mmasai mmoja alichezea kifiro pale alipoambiwa akatafute Malaya yeye akajibu kwani mimi haifai!!??? Ndipo wakampa kifiro cha nguvu sasa isijekuwa ulienda kule kwa tamaa ya dola 200 zilizomponza mmasai kwa wataliano kiwengwa
eebwana niliwahi kutembelea zenji ------- wengi kweli
By the way investment opportunity zinatokea nyingi zenjy lakini tatizo madubu ya CCM yanatekeleza amri za dodoma. Mlipata habari kuwa mfalme wa Qatar alikuja kutaka kuinvest zenjy? Yeye alikuja na ndege mwanawe kaja na private yatch, lakini ndo ivo hii midubu. Tulipewa proposal ya kuweka umeme wa baharini lakini midubu sijui imefanya nini mpango haukufanyika. Tupo na makhanatha ya kisonge ikiandika mipasho!
Vipii mbona povuu jingi???🙂https://www.google.com/search?q=fra...mplies-jewish-singer-will-be-baked%2F;598;273
Hao hapo ndio ndugu zenu watanganyika na hapa wanaonyesha msisitizo kuwa wao na nyinyi ni damu damu!
Na huyu ni ndugu yenu kutoka america.
Video: Racist Woman Flips Out At Black Man For Starting His Car: Gothamist.
wew itakua una matatizo, mtu kama wew ni wa kupuuzwa
ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.