Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
107
Reaction score
195
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.

N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?

Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?

Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!
 
Hizi ndizo dreams za wazanzibari

Kuwa na mitaa kama hii ya Muscat

3006884347_738ce2d6bb_b.jpg
 
hizi ndizo dreams za wazanzibari

kuwa na mitaa kama hii ya Muscat
Ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. Zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. Mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.
 
Mkuu ndio zao hizo kwani wee ulikuwa huwajui....Weee zunguka zunguka tu utakutana na jitu bantu na jeusi anakwambia mi ni mwarabu wa Muscut (Na hata Oman hajafika hapo)...unabakia unamwonea huruma maana huwa kama wagonjwa wa akili ati.🙂
Na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. Kuna migahawa mingi hapa DSM ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani, pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. Wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. Hii dunia hii.
 
na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///

WEWE UTAKUWA UNAWAPIGA VIJEMBE K-TEA SHOP

LAKINI TAZAMA KULE OMAN WALIVYOKUWA WAMECHOKA
 
Muscut wanawaona Kama nyani lakini Ulaya na marekani kama masokwe na ndio maana huwa wanarushiwa ndizi na wengine kuwaita lugha za kibaguzi Kama niga negro n.k

Hili la Ulaya na america wanalofanyiwa watu weusi kwako ni sasa kisa ni magalatia wenzako!! Au umesahau miaka ya 80 mabwana zenu wazungu walivyo mpigisha Dada yenu paipu ya mbwa!!???

Wazungu nyinyi ndugu zenu wadamu hawawabaguwi si unaona hapa!????

Kumbuka hao maweita kwa mwarabu mwisho Wa siku wanalipwa mshahara wa kula na familia yao
 
WEWE UTAKUWA UNAWAPIGA VIJEMBE K-TEA SHOP

LAKINI TAZAMA KULE OMAN WALIVYOKUWA WAMECHOKA

Tena wamechoka sana!!! Si kila mwaka serikali ya Tanzania inatoa msaada kuwasaidia hawa!!!???

Watanzania wanaishi raha mustarehe.
 
Muscut wanawaona Kama nyani lakini Ulaya na marekani kama masokwe na ndio maana huwa wanarushiwa ndizi na wengine kuwaita lugha za kibaguzi Kama niga negro n.k

Hili la Ulaya na america wanalofanyiwa watu weusi kwako ni sasa kisa ni magalatia wenzako!! Au umesahau miaka ya 80 mabwana zenu wazungu walivyo mpigisha Dada yenu paipu ya mbwa!!???

Wazungu nyinyi ndugu zenu wadamu hawawabaguwi si unaona hapa!????

http://revolution-news.com/wp-content/uploads/2014/06/BpMDAnQCMAA-4y8.jpg

Kumbuka hao maweita kwa mwarabu mwisho Wa siku wanalipwa mshahara wa kula na familia yao

Yakhe, huyu mleta mada hakusema wazungu hawana ubaguzi ati! Yeye kasema waarabu na wazanzibar sasa kisa cha kuwaleta wazungu huku ni nini? Ukitaka anzisha mada ya ubaguzi wa wazungu tuchangie! Usiwe kama yule n'nyama wa kule kwenu ma-------chi!
 
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.

N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?

Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?

Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!

Pia usisahau mambo ya waarabu na tigo za weusi kule walikopita - yaani Zanzibar, Tanga, Mombasa na Dar. Hadi leo utamaduni huu upo maeneo haya!
 
Ukijifanya mwarabu wakati wewe ni mweusi, ukivaa kanzu, ukivaa kilemba kichwani ukidhani kuwa ni matakwa ya dini wakati ni desturi ya watu wa mashariki ya kati, basi wewe unakwenda mbinguni ukifa.
 
ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.

Mheshimiwa umesema wame conferm kuwa hakuna mafuta zanzibar. Lakini binafsi nimeshindwa kupata information hizo kabisa. Nachojua shell iliingia mkataba na serekali ya zanzibar kueplore mafuta ila walikuwa nasikilizia katiba au makubaliana na serekali ya muungano.
 
Yakhe, huyu mleta mada hakusema wazungu hawana ubaguzi ati! Yeye kasema waarabu na wazanzibar sasa kisa cha kuwaleta wazungu huku ni nini? Ukitaka anzisha mada ya ubaguzi wa wazungu tuchangie! Usiwe kama yule n'nyama wa kule kwenu ma-------chi!

Nimewaleta hapa baada ya kukusikia unasema ni bora ungalizaliwa MBWA ULAYA kuliko ulivyozaliwa MTU Africa.

Pia mtoa mada kasema kuwa katika tembea yake kakuta wawekezaji ZNZ ni wazungu, wachina na wakenya lakini waarabu sufuri!

Pia mchangiaji mmoja aliwazarau watu walioajiriwa na waarabu Kama maweita huku akisahau kuwa wanakipwa mshahara ambao unawasaidia pamoja na familia zao.

Na mwengine akaposti picha inayowaonyesha waswahili wakiwa Dubai kama dharau fulani hivi!!!???

Jee Mimi kuna ubaya wowote kuposti na kuonyesha tunavyoonekana America na ulaya!!???
 
Abd=1. arabic for slave 2. arabic for a black person!
 
Kuna mwarabu mmoja alisema wanachukia warabu lakini ama zao wanautafuta. Hiyo ni enzi ya kalkiti
 
Hata iwe vipi Zanzibar si Tanganyika, mbinu za kuwagawa wazanzibar kwa udini na ugozi zimepitwa na wakati, mtu muarabu au mweusi ni binaadamu na kinachoangaliwa ni uchungu wa Zanzibar sio uarabu wake, Zanzibar kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom