Lowasa ndio rais ajaye, hakuna cha nyerere wala nani. Nyere kisha kufa na usia wake hauna maana yeyote. Hii nchi itakaa sawa kama Lowasa atakua Rais.
Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.
Hata Nyerere naye alikuwa hafai kuwa kiongozi,,, alitesa Sana wapinzani wake na wengine kuwaweka vizuizini huku wengine wakipotea bila taarifa hadi leo habari zao hazipo. Kwa mujibu wa Mohammed Babu, alisema Nyerere aliwahi kumzika mtu akiwa hai, tena huyo mtu akitokea Zambia alikuwa mpinzani wa Kaunda....
Lakini Nyerere huyu huyu alitoa elimu bora bure, afya bure, alijenga viwanda, rushwa ilikuwa mwiko Enzi za utawala wake
Nyerere alikuwa na mazuri na mabaya yake kama ilivyo kwa Lowassa
Mkuu nakuunga mkono hoja yako, hatuwezi tukampa uongozi wa taifa mwinzi kama yule na fisadi mkubwa.
Mungu kumlaani kwa sasa ni mgojwa kama kuku mwenye ndegua.
Hii nchi ina wanafiki wengi sana.Nyerere alikua binadamu kama mimi au wewe na si Mungu au Nabii au Mtume.Naye alikua na mapungufu yake mengi tu.Edward Lowasa ni Mamba ndani ya msafara wa wanaogombea urais kwa tiketi ya CCM.
Mwl.J.K.Nyerere si Mungu ni kiumbe tu !
Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.
Edward Lowasa ni Mamba ndani ya msafara wa wanaogombea urais kwa tiketi ya CCM.
Mwl.J.K.Nyerere si Mungu ni kiumbe tu !
Bila shaka wewe ni mwehu,unaambiwa mtu ananunua ranch za taifa kwa majina ya familia ili asijulikane,we unakomaa tu,ccm wakimchagua tu lowassa,imekula kwao,chadema wataanza kwenye nywele hadi kwenye kucha kuweka wazi uovu wake,Lowasa ndio rais ajaye, hakuna cha nyerere wala nani. Nyere kisha kufa na usia wake hauna maana yeyote. Hii nchi itakaa sawa kama Lowasa atakua Rais.