Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
mwenye mapungufu ana hadhi ya kuwa mtakatifu?
Mbona Tunakuwa MBUMBUMBU hivi, utakatifu wa Nyerere sio wa Watanzania bali ni wa Wakatoliki, kwa misingi yao hoa Wakatoliki wakiamua kumpa Nyerere utakatifu ni wao na kwa sababu zao amabzo hazina misingi wala Faida yoyote kwa Watanzania, Uganda kuna "Watakatifu Mashahidi wa Uganda" Waganda wanafaidika nini na hao, Durful kuna Sister Bhakita je WaDurful wanafaidika na ninim na huyo Mtakatifu
Mwanzilishi wa Hii Hoja yupo kwenye lengo la kidini ili amponde Nyerere, lakini kwa Bahati mbaya hata Historia Hajuhi, sijuhi hii hoja ilikuwa kwenye Mhadhara gani?