Kwanini nusu uchi unavutia zaidi kuliko uchi kamili?

Kwanini nusu uchi unavutia zaidi kuliko uchi kamili?

Dm
fbc1511c437cc238bb281a8029e4e90f.jpg
 
Nadhani umewahi kula ndizi mbivu. Menya ndizi nzima uishike mkononi ule halafu siku nyingine umenye nusu ndizi ule taratibu huku ukiendelea kuimenya. Utamu wa ndizi ya pili ni mwingi kuliko ule wa kwanza.
Nusu uchi ni mzuri kwa sababu unabaki na tamaa ya kuona ile ilofichwa.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Akilala kifoodfood mtupu anavutia sana .. Asikuambie MTU
 
Habari za alasiri wana MMU,

Hili jambo linanishangaza sana nikona wanawake wako nusu uchi uwa nasisimuka sana kuliko nikiona uchi kamili za wanawake hao hao.

Naomba kujuzwa.
Kwa nn nusu shari kuliko shari kamili.?
 
Akiwa nusu uchi unatamani kuuona uchi kamili

Akiwa uchi utatamani nini tena na ushaona?
 
Utakuwa na matatizo ya nguvu za kiume
tatizo la nguvu lzm liwepo kama wameamua kutembea maungo yote yako nje hivi ukikutana naye kwenye kitanda nini kitakusisimua kama mgongo manyonyo na mapaja yote ushayaona
 
Maana ya uchi nini?! Kama uchi utamaanisha uke...then kwa hakika sura ya uke haivutii hata kidogo...ndo maana hata muumba aliuficha sana uke....! Binti anaweza akawa hana nguo lakin usione uchi wake.

Lakin kama uchi unamaanisha hali ya kutokuwa na nguo lakin bila kuchanua miguu/mapaja...basi kwa hapa...maumbile ya binti yatakuwa na mvuto mkali au hafifu kwa kuzingatia alivoumbwa/alivojikeep(mfano hana kitambi...rangi yake ni nzuri mwilli mzima nk)

So labda hapa kwanza tujue maana ya uchi kwanza kisha ndo tuweze kukujibu mtoa mada.
 
Habari za alasiri wana MMU,

Hili jambo linanishangaza sana nikona wanawake wako nusu uchi uwa nasisimuka sana kuliko nikiona uchi kamili za wanawake hao hao.

Naomba kujuzwa.
Hata mimi nililiona mapema sana.

Akijifunika kidogo sehemu zake inaleta msisimko zaidi.

Pia wakati wa majambozi umvue mwenyewe nguo akiijivua msisimko wote umetoweka
 
Kuna rafiki yangu akiuona tu wa mwanamke anatapika.

hahahahh.....
 
Back
Top Bottom