Kwanini nusu uchi unavutia zaidi kuliko uchi kamili?

Kwanini nusu uchi unavutia zaidi kuliko uchi kamili?

Hakuna binadamu anayependeza akiwa mtupu. Jaribu kuvua nguo zote then kaa mbele ya kioo ujichunguze.
 
Mkuu, unapofanya utafiti huna budi kufanya hata yale usopenda kuyafanya, wewe jaribu then lete mrejesho.
Kaka nashukuru bado sijapata resources zakufanya huo utafiti uliojaribu kunishawishi niufanye, natumaini umeufanya unaweza uka-share na sisi
 
Habari za alasiri wana MMU,

Hili jambo linanishangaza sana nikona wanawake wako nusu uchi uwa nasisimuka sana kuliko nikiona uchi kamili za wanawake hao hao.

Naomba kujuzwa.
Mleta mada nahisi utakuwa kwenye lile kundi mnaotegemea vidole zaidi kuwaridhisha wapenzi wenu kuliko kutumia uume.
 
Mleta mada nahisi utakuwa kwenye lile kundi mnaotegemea vidole zaidi kuwaridhisha wapenzi wenu kuliko kutumia uume.
Hilo kundi lenu sidhani kama nitafika huko maana ninazingatia balance diet, kanuni za afya na mazoezi
 
jaribu raha ya kumchungulia mwanamke wako mwenyewe bafuni tena kwenye katundu ka funguo au katundu kadogo dogo hivi au upenyo flani ambao huoni very clear...ukipata majibu/experience ya hiyo ndo utaelewa kwanini nusu uchi una mvuto kuliko uchi kamili
 
Back
Top Bottom