Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Wana JF nataka kufahamu ,
Kwanini mabasi mengi ya masafa marefu mfano kutoka Dar kwenda Kampala,Harare,Lusaka,Kigari na Lubumbashi huwa ni Nissan UD badala ya Andare class? Mfano kampuni ya Taqwa,Falcon na Spider wao ni mwendo wa Nissan UD japo tunajua ni nzito milimani,
Je Scania haimudu masafa marefu? Je, Scania haidumu kuliko Nissan UD? Au sababu ni nini ?
Asanten