Ni vyema ukaleta uthibitisho wa utofauti huo ili wanajukwaa wasidhani kuwa unabwabwaja pekee.Huyo Aliyeishi Miaka 600 baadae angalau ameongea Vinavoeleweka Kuhusu Yesu Akina Marko Na Luka Wamedanganya sana Hata Ukisoma Wamepishana masimulizi Yao Mfano Kuhusu vazi la Yesu Wakati Anashurutishwa Kuna Mmoja Anasema Alikuwa Kavaa Vazi la Zambarau Mwengine Kasema Rangi Nyingine Sasa Unajiuliza Hivi Ni Kweli walikuwepo Au Ni Matapeli Tu waliotuzidi Akili
Hakuna muislam anakubaliana hili.kwa kutafiti ama kuambiwa kama hivi.Am not Muslimu Mkuu!
Japo Kwa kujibu..
Quran Imebadilisha sana na imepitia Mabadiliko mpaka kufikia kwa Msahafu wa Uthmani (The standard of quran)..
hakuna mkristo mwenye mashaka ama anayebisha jambo hili,linajulikana kabisa,But all in all
Hakuna Mwandishi hata mmoja wa Biblia Ambaye ni Authentic sources au Trur sources Vivo hivyo Quran
😄😄😄mkuu taratibu.Injili ni nini? Maana kitabu chenu kinaiongelea injili ambayo hatuijui wala hatujawahi kuiona? Kama Quran inajitegemea Hadith za nini?
Wewe umejuaje kwamba the furthest mosque ni msikiti wa El-aqsa bila msaada wa Hadith na tafsir? Quran 17:1 haina context mpaka ukimbilie kwenye Hadith na tafsir 😊😊,kitabu chenu kina mashimo kibao yanayoonyesha upungufu wake.
Ukiishi miaka 600 baada ya tukio ni ngumu kuweza kufahamu kilicho tokea.Mohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .
Karibu saa tisa, Yesu akapaza sauti, akisema: “Eli, Eli, lama sabakthani?” yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?”Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Ni ngumu sana kwasababu hayo mambo kuweza kuandikwa na kutiwa ktk kumbukumbu ktk miaka hiyo ilihitaji Mungu aingilie kati na uweza wake kwa manufaa ya kizazi kijacho na cha baadaye.Quran pia Muhammad alizaliwa wapi, alitokea ktk kijiji gn, Quran hatujui Muhammad alikuwa na wanafunzi wangapi, wala majina yao. Ni kweli kabisa kwa Quran haijataja hata majina ya wake na watoto wake.
Hebu taja usayansi wowote katika !Qurani ambao kwako una-make sense.?Naam ni sahihi kabisa. Kwa Quran si kitabu cha historia, si kitabu cha kisayansi, si kitabu cha hesabati au fani yyt. Bali kimetoa tu muhtasari wa historia, hisabati, sayansi, biology nk kwa muhtasari au mwongozo. Ili wewe tunapokuja kufanya utafiti ukusaidie ili usije kukupotosha.
Maalim tujadili kwa kuheshomu.Yesu ajakabidhiwa kitabu. Hamuelewi ata historia ya bibilia. Mnadhani Mungu ni ndogo kama kitabu. Vitabu vipo vingi sana ila vilikosa authenticity. Sasa moody ndio akakwapua huko mastory ya uongo. Eti aje baadae karne 6 mbele eti kaja kusahihisha!? Inaingia akilini. Acheni ujuaji , dini yenu ni false.
Google usiwe mchovu si ayah bali kuna sura nzima zinatoa guidance juu ya sayansi. Mfano sayansi ya anga, asili ya mvua nk.Hebu taja usayansi wowote katika !Qurani ambao kwako una-make sense.?
Naam hadithi zipo ambazo hazijachakachuliwa. Lkn kuna ayah Chungu mzima zinazojitosheleza kuhusu masjid aqsa.Injili ni nini? Maana kitabu chenu kinaiongelea injili ambayo hatuijui wala hatujawahi kuiona? Kama Quran inajitegemea Hadith za nini?
Wewe umejuaje kwamba the furthest mosque ni msikiti wa El-aqsa bila msaada wa Hadith na tafsir? Quran 17:1 haina context mpaka ukimbilie kwenye Hadith na tafsir 😊😊,kitabu chenu kina mashimo kibao yanayoonyesha upungufu wake.
Unaifafanua vipi John 21:24...?Hakuna anayejua nani haswa kaandika vitabu vinne vikuu vya biblia. Vitabu vilipewa majina hayo ilitu kuvipa authority lakini wao si walioandika vitabu hivyo.
Jitahidi kuresearch kidogo: Anza hapo 👇🏼
Who wrote the Gospels
Umeona ni namna gani Msaafu ulivyokuwa sio wa kuaminika?Google usiwe mchovu si ayah bali kuna sura nzima zinatoa guidance juu ya sayansi. Mfano sayansi ya anga, asili ya mvua nk.
Ktk surat Radd.
Try googling my friend
Hao ndo wanafunzi wa yesu luka yupo wapi?Prove it with a credible source of data.
Maalim.Swali langu bado liko pale pale.
Umesema hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kumuona Yesu. Je Yesu alikuwa anawatumia Voice Notes?
Source ya taarifa kuwa Prof Saul ndiye aliyemuona Yesu iko na credibility kwa asilimia ngapi>?
Bila shaka chanzo iko hakina umri kuzidi maandiko ya biblia, kwanini tuamini waliyoyazungumza watu wa baadaye kabisa?
Umesema kweli kabisa ndio maana akatokea Muhammad.Ni ngumu sana kwasababu hayo mambo kuweza kuandikwa na kutiwa ktk kumbukumbu ktk miaka hiyo ilihitaji Mungu aingilie kati na uweza wake kwa manufaa ya kizazi kijacho na cha baadaye.
Ni vigumu kwa wewe usiye trinitarian kuweza kufahamu Matayo 27:46Karibu saa tisa, Yesu akapaza sauti, akisema: “Eli, Eli, lama sabakthani?” yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?”
Mathayo 27:46